{"id":891,"date":"2026-09-01T09:38:41","date_gmt":"2026-09-01T09:38:41","guid":{"rendered":"https:\/\/spotileo.co.tz\/?p=22856"},"modified":"2026-09-01T09:38:41","modified_gmt":"2026-09-01T09:38:41","slug":"wema-sepetu-ollie-anatosha-sina-mpango-wa-kuzaa-tena","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/sokasoga.website\/ltv\/wema-sepetu-ollie-anatosha-sina-mpango-wa-kuzaa-tena\/","title":{"rendered":"Wema Sepetu: Ollie anatosha, sina mpango wa kuzaa tena"},"content":{"rendered":"\n<p><strong>DAR ES SALAAM:<\/strong> MSANII wa filamu nchini, Wema Sepetu, amesema kwa sasa hana mpango wa kupata mtoto mwingine, akieleza kuwa mtoto wake Baby Ollie anatosha na ndiye anayempa furaha katika maisha yake.<\/p>\n<p>Wema ametoa kauli hiyo alipokuwa akizungumza na mashabiki wake kupitia kipindi cha moja kwa moja (Live) kwenye mtandao wa TikTok, ambapo alieleza kuwa kwa sasa hana hamu ya kuongeza mtoto mwingine katika familia yake.<\/p>\n<p>Kwa mujibu wa Wema, nguvu na muda wake mwingi kwa sasa anataka kuuelekeza katika kumlea Baby Ollie, kuhakikisha anapata malezi bora, elimu nzuri na maisha yenye fursa na mazingira mazuri ya kukua.<\/p>\n<p>\u201cNataka kumlea na kumsomesha Ollie vizuri, kuhakikisha anaishi maisha mazuri na anapata kila kilicho bora,\u201d amesema Wema.<\/p>\n<p>Akizungumzia uwezekano wa kupata mtoto mwingine, Wema amesisitiza kuwa kwa sasa Baby Ollie ndiye mtoto wake wa pekee, akimtaja kuwa \u201cone and only\u201d, kauli iliyoonyesha namna anavyomthamini mtoto huyo.<\/p>\n<p>Kauli hiyo imeendelea kuibua mneno na maoni mbalimbali kutoka kwa mashabiki wake, ambao wamekuwa wakifuatilia kwa karibu maisha ya msanii huyo pamoja na safari yake ya malezi.<\/p>\n<p>Hata hivyo, Wema ameweka wazi kuwa kwa sasa kipaumbele chake ni kuhakikisha Baby Ollie anakua katika mazingira mazuri na anapata malezi na elimu bora.<\/p>\n<p>Kauli yake imeonyesha pia namna ambavyo msanii huyo anavyolenga kutumia muda na nguvu zake katika kumjenga mtoto wake na kuhakikisha anakuwa na maisha yenye msingi mzuri.<\/p>\n<p>Kwa sasa, Wema anaonekana kuridhika na familia yake ikiwa na Baby Ollie, huku akisisitiza kuwa Ollie ndiye \u201cone and only\u201d kwake.<\/p>\n<p>The post <a href=\"https:\/\/spotileo.co.tz\/wema-sepetu-ollie-anatosha-sina-mpango-wa-kuzaa-tena\/\">Wema Sepetu: Ollie anatosha, sina mpango wa kuzaa tena<\/a> first appeared on <a href=\"https:\/\/spotileo.co.tz\">SpotiLEO<\/a>.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"\n<p><a href=\"https:\/\/spotileo.co.tz\/wema-sepetu-ollie-anatosha-sina-mpango-wa-kuzaa-tena\/\"><\/p>\n<p><strong>DAR ES SALAAM:<\/strong> MSANII wa filamu nchini, W&#8230; <a href=\"https:\/\/spotileo.co.tz\/wema-sepetu-ollie-anatosha-sina-mpango-wa-kuzaa-tena\/\" class=\"read-more\">Read the rest <\/a><\/p>\n<p><\/a><\/p>\n<p>The post <a href=\"https:\/\/spotileo.co.tz\/wema-sepetu-ollie-anatosha-sina-mpango-wa-kuzaa-tena\/\">Wema Sepetu: Ollie anatosha, sina mpango wa kuzaa tena<\/a> first appeared on <a href=\"https:\/\/spotileo.co.tz\">SpotiLEO<\/a>.<\/p>\n","protected":false},"author":1,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"closed","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"_monsterinsights_skip_tracking":false,"footnotes":""},"categories":[19],"tags":[],"class_list":["post-891","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-spoti"],"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/sokasoga.website\/ltv\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/891","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/sokasoga.website\/ltv\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"https:\/\/sokasoga.website\/ltv\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/sokasoga.website\/ltv\/wp-json\/wp\/v2\/users\/1"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/sokasoga.website\/ltv\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=891"}],"version-history":[{"count":0,"href":"https:\/\/sokasoga.website\/ltv\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/891\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/sokasoga.website\/ltv\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=891"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"https:\/\/sokasoga.website\/ltv\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=891"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"https:\/\/sokasoga.website\/ltv\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=891"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}