SIMBA MARATHON: Klabu ya Simba imemtangaza mwanariadha wa kimataifa wa Tanzania, Felix Simbu kuwa mgeni maalum wa tukio la Simba...

Oct 02, 2026 - 00:15
0 2
SIMBA MARATHON: Klabu ya Simba imemtangaza mwanariadha wa kimataifa wa Tanzania, Felix Simbu kuwa mgeni maalum wa tukio la Simba...
SIMBA MARATHON: Klabu ya Simba imemtangaza mwanariadha wa kimataifa wa Tanzania, Felix Simbu kuwa mgeni maalum wa tukio la Simba marathon litakalofanyika Oktoba 4, Coco Beach Dar Es Salaam.

Simba pia imeitambulisha kampuni ya uuzaji na uagizaji wa magari ya Yosam Investiment Limited ambayo imewalipia mashabiki 40 tiketi za kushiriki mbio hizo.

Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally amewataka wadau wengine kujitokeza kuelekea tukio hilo.

#SimbaMarathon #SimbaSC



(Feed generated with FetchRSS)

Comments (0)

User
🔒
SALAMA NA RAHISI KUJIUNGA

JIUNGE NA SOGA COMMUNITY

MASHABIKI WA MICHEZO NA MATUKIO DUNIANI WANAKUTANA HAPA. HAKUNA FUJO, HAKUNA MATUSI — NI MAZUNGUMZO YA MAANA NA MARAFIKI WAPYA.

✅ HAKUNA MADHARA KUJIUNGA NA CHAT YETU
✅ MFUMO UNAZUIA CHATS ZISIZOFAA
✅ KUBLOCK USER ASIYE NA MAADILI
✅ KUMSHITAKI NA KUMFUKUZA MTUMIAJI MBAYA
✅ KUFOLLOW NA KUBEFRIEND WATUMIAJI WENYE MAADILI

What's Your Reaction?

Like Like 0
Dislike Dislike 0
Love Love 0
Funny Funny 0
Wow Wow 0
Sad Sad 0
Angry Angry 0