YANGA SC | ''Yao, Abuya sasa wanarejea mazoezini''

Daktari wa Yanga SC, Moses Etutu amezungumzia hali za wachezaji waliokuwa majeruhi, akiwataja Duke Abuya na Yao Kouassi kuwa wako mbioni kurejea kwenye mazoezi ya kikosi hicho.
Etutu amesema kurejea kwa wachezaji hao kutakuwa sehemu ya maandalizi ya Yanga kuelekea kuendelea kwa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara na michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
Mhariri | @rajjmsangi
#Mshikemshike #YangaSC #LigiYaMabingwaAfrika
(Feed generated with FetchRSS)

SALAMA NA RAHISI KUJIUNGA
JIUNGE NA SOGA COMMUNITY
MASHABIKI WA MICHEZO NA MATUKIO DUNIANI WANAKUTANA HAPA. HAKUNA FUJO, HAKUNA MATUSI — NI MAZUNGUMZO YA MAANA NA MARAFIKI WAPYA.
✅ HAKUNA MADHARA KUJIUNGA NA CHAT YETU
✅ MFUMO UNAZUIA CHATS ZISIZOFAA
✅ KUBLOCK USER ASIYE NA MAADILI
✅ KUMSHITAKI NA KUMFUKUZA MTUMIAJI MBAYA
✅ KUFOLLOW NA KUBEFRIEND WATUMIAJI WENYE MAADILI

What's Your Reaction?
Like
0
Dislike
0
Love
0
Funny
0
Wow
0
Sad
0
Angry
0
Comments (0)