AZAM FC YAZIDI KUTANUA MBAWA: “Hapa ndipo ambapo tutaweza kuwapata mashabiki halisi wa Azam FC”

Nov 15, 2026 - 18:15
0 0
AZAM FC YAZIDI KUTANUA MBAWA: “Hapa ndipo ambapo tutaweza kuwapata mashabiki halisi wa Azam FC”
AZAM FC YAZIDI KUTANUA MBAWA: “Hapa ndipo ambapo tutaweza kuwapata mashabiki halisi wa Azam FC”
Mkuu wa Operesheni wa Azam FC, Victor Ndozero amesema wameona ni vema kuwa karibu na shule ambazo zipo karibu na timu yao kwa lengo kuwapata mashabiki ambao bado ni watoto.

Ndozero ameyasema hayo jana Jumamosi Novemba 14, 2026, walipotembelea Chamazi Day High School na kusema kwamba kwenye mechi ya mkondo wa pili ya Kombe la Lishirikisho Afrika (CAFCC) dhidi ya ZED FC, kulikuwa na watoto zaidi ya 1,000 ambao walitoa mchango mkubwa wa timu hiyo kuingia hatua ya makundi.

Walimu wa shule hiyo wameonesha kukoshwa na ushirikiano wanaoupata kutoka Azam FC.

✍️ @allymufti_tz

#SportsAM #AzamFC



(Feed generated with FetchRSS)

Comments (0)

User
🔒
SALAMA NA RAHISI KUJIUNGA

JIUNGE NA SOGA COMMUNITY

MASHABIKI WA MICHEZO NA MATUKIO DUNIANI WANAKUTANA HAPA. HAKUNA FUJO, HAKUNA MATUSI — NI MAZUNGUMZO YA MAANA NA MARAFIKI WAPYA.

✅ HAKUNA MADHARA KUJIUNGA NA CHAT YETU
✅ MFUMO UNAZUIA CHATS ZISIZOFAA
✅ KUBLOCK USER ASIYE NA MAADILI
✅ KUMSHITAKI NA KUMFUKUZA MTUMIAJI MBAYA
✅ KUFOLLOW NA KUBEFRIEND WATUMIAJI WENYE MAADILI

What's Your Reaction?

Like Like 0
Dislike Dislike 0
Love Love 0
Funny Funny 0
Wow Wow 0
Sad Sad 0
Angry Angry 0