VIWANJANI | Nani atacheza nafasi ya Maxi Nzengeli Yanga SC...???

Wachambuzi wa soka @juma_abdul_12 na @abissay_stephen, kupitia kipindi cha #Viwanjani, wamejadili kiufundi wachezaji wanaoweza kucheza eneo analocheza kiungo wa Yanga SC, Maxi Nzengeli kufuatia jeraha la goti litakalomuweka nje kwa wiki sita.
Abissay amesema Duke Abuya, ambaye anatarajiwa kurejea kikosini pamoja na Mudathir Yahya wanaweza kutumika katika nafasi hiyo ingawa amebainisha kuwa huenda wasifikie kiwango ambacho Maxi amekuwa akionesha.
Kwa upande wake, Juma amesema Yanga ina wachezaji wengi waliosajiliwa ambao wanaweza kutumika katika eneo hilo licha ya kuwa na tofauti ya mchango wa Maxi.
Kwa maoni yako ungekuwa kocha wa Yanga, ungemchagua nani kucheza nafasi ya Maxi Nzengeli???
#Viwanjani #YangaSC
(Feed generated with FetchRSS)

SALAMA NA RAHISI KUJIUNGA
JIUNGE NA SOGA COMMUNITY
MASHABIKI WA MICHEZO NA MATUKIO DUNIANI WANAKUTANA HAPA. HAKUNA FUJO, HAKUNA MATUSI — NI MAZUNGUMZO YA MAANA NA MARAFIKI WAPYA.
✅ HAKUNA MADHARA KUJIUNGA NA CHAT YETU
✅ MFUMO UNAZUIA CHATS ZISIZOFAA
✅ KUBLOCK USER ASIYE NA MAADILI
✅ KUMSHITAKI NA KUMFUKUZA MTUMIAJI MBAYA
✅ KUFOLLOW NA KUBEFRIEND WATUMIAJI WENYE MAADILI

What's Your Reaction?
Like
0
Dislike
0
Love
0
Funny
0
Wow
0
Sad
0
Angry
0
Comments (0)