YANGA SC | Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Kamwe amesema timu hiyo itacheza mchezo wa kirafiki dhidi ya KVZ Ju...
YANGA SC | Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Kamwe amesema timu hiyo itacheza mchezo wa kirafiki dhidi ya KVZ Jumamosi hii saa 12:00 jioni katika Uwanja wa Maisara.
Kamwe ameeleza kuwa idadi ya mashabiki watakaoruhusiwa kushuhudia mchezo huo itakuwa ndogo, hivyo nafasi hiyo itatolewa kwa mashabiki waliopo karibu na eneo la mchezo, huku wale wa mbali wakitakiwa kuwa wavumilivu.
Aidha, Kamwe ameweka wazi ratiba ya kikosi hicho pamoja na mipango ya timu baada ya kumalizika kwa mchezo huo.
Ni kupitia kipindi cha #Viwanjani kinachoongozwa na @ibrakasuga
✍ @katty_shirima
#YangaSC
(Feed generated with FetchRSS)

SALAMA NA RAHISI KUJIUNGA
JIUNGE NA SOGA COMMUNITY
MASHABIKI WA MICHEZO NA MATUKIO DUNIANI WANAKUTANA HAPA. HAKUNA FUJO, HAKUNA MATUSI — NI MAZUNGUMZO YA MAANA NA MARAFIKI WAPYA.
✅ HAKUNA MADHARA KUJIUNGA NA CHAT YETU
✅ MFUMO UNAZUIA CHATS ZISIZOFAA
✅ KUBLOCK USER ASIYE NA MAADILI
✅ KUMSHITAKI NA KUMFUKUZA MTUMIAJI MBAYA
✅ KUFOLLOW NA KUBEFRIEND WATUMIAJI WENYE MAADILI
✅ MFUMO UNAZUIA CHATS ZISIZOFAA
✅ KUBLOCK USER ASIYE NA MAADILI
✅ KUMSHITAKI NA KUMFUKUZA MTUMIAJI MBAYA
✅ KUFOLLOW NA KUBEFRIEND WATUMIAJI WENYE MAADILI
What's Your Reaction?
Like
0
Dislike
0
Love
0
Funny
0
Wow
0
Sad
0
Angry
0
Comments (0)