SPORTS AM: Nyota wa zamani wa soka nchini Makumbi Juma ‘Homa ya Jiji’ amemchagua nyota wa Yanga SC, Selemani Mwalimu ‘Gomezi’ ak...

Nov 15, 2026 - 18:15
0 0
SPORTS AM: Nyota wa zamani wa soka nchini Makumbi Juma ‘Homa ya Jiji’ amemchagua nyota wa Yanga SC, Selemani Mwalimu ‘Gomezi’ ak...
SPORTS AM: Nyota wa zamani wa soka nchini Makumbi Juma ‘Homa ya Jiji’ amemchagua nyota wa Yanga SC, Selemani Mwalimu ‘Gomezi’ akisema mchezaji huyo anafaa kupewa jina lake hilo la utani.

Makumbi amemchagua Gomez dhidi ya Feisal Salum ‘Fei Toto’ na Nathaniel Chilambo.

Alipoulizwa kuhusu makocha, Makumbi akamchagua Kocha Stive Barker wa Simba SC, dhidi ya Florent Ibenge wa Azam FC na Fadlu Davids wa Yanga SC.

Ni mahojiano maalumu aliyofanya kupitia kipindi cha Sports AM kilichoongozwa na mtangazaji @hassanahmedy_

(Imeandikwa na @allymufti_tz)

#SportsAM



(Feed generated with FetchRSS)

Comments (0)

User
🔒
SALAMA NA RAHISI KUJIUNGA

JIUNGE NA SOGA COMMUNITY

MASHABIKI WA MICHEZO NA MATUKIO DUNIANI WANAKUTANA HAPA. HAKUNA FUJO, HAKUNA MATUSI — NI MAZUNGUMZO YA MAANA NA MARAFIKI WAPYA.

✅ HAKUNA MADHARA KUJIUNGA NA CHAT YETU
✅ MFUMO UNAZUIA CHATS ZISIZOFAA
✅ KUBLOCK USER ASIYE NA MAADILI
✅ KUMSHITAKI NA KUMFUKUZA MTUMIAJI MBAYA
✅ KUFOLLOW NA KUBEFRIEND WATUMIAJI WENYE MAADILI

What's Your Reaction?

Like Like 0
Dislike Dislike 0
Love Love 0
Funny Funny 0
Wow Wow 0
Sad Sad 0
Angry Angry 0