AZAM FC YAISHIKA MKONO AL-MUNTADHIR
AZAM FC YAISHIKA MKONO AL-MUNTADHIR
Klabu ya Azam imeendelea kurejesha kwa jamii baada ya leo timu ya mauzo na masoko ikiongozwa na mashabiki na wanachama kutoa msaada wa maji katika shule ya watu wenye mahitaji maalum ya Almuntandhir.
Afisa Masoko wa Azam FC Ayoub Shelukindo ameweka wazi umuhimu wa jitihada hizo huku akiwaomba wadau mbalimbali kuzidi kujitokeza kwa wingi kutia nguvu jambo hilo.
Nao uongozi wa shule hiyo umetoa shukrani kwa Azam FC, kwa kitendo hicho....
Hii hapa taarifa kutoka kwa Sakina Mago….
(Feed generated with FetchRSS)

SALAMA NA RAHISI KUJIUNGA
JIUNGE NA SOGA COMMUNITY
MASHABIKI WA MICHEZO NA MATUKIO DUNIANI WANAKUTANA HAPA. HAKUNA FUJO, HAKUNA MATUSI — NI MAZUNGUMZO YA MAANA NA MARAFIKI WAPYA.
✅ HAKUNA MADHARA KUJIUNGA NA CHAT YETU
✅ MFUMO UNAZUIA CHATS ZISIZOFAA
✅ KUBLOCK USER ASIYE NA MAADILI
✅ KUMSHITAKI NA KUMFUKUZA MTUMIAJI MBAYA
✅ KUFOLLOW NA KUBEFRIEND WATUMIAJI WENYE MAADILI

What's Your Reaction?
Like
0
Dislike
0
Love
0
Funny
0
Wow
0
Sad
0
Angry
0
Comments (0)