SPORTS AM: Nyota wa zamani wa soka nchini Makumbi Juma ‘Homa ya Jiji’ amesema Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) bado h...

Nov 15, 2026 - 18:15
0 0
SPORTS AM: Nyota wa zamani wa soka nchini Makumbi Juma ‘Homa ya Jiji’ amesema Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) bado h...
SPORTS AM: Nyota wa zamani wa soka nchini Makumbi Juma ‘Homa ya Jiji’ amesema Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) bado haliwatumii vema wachezaji wa zamani nchini katika kuongeza hamasa kwenye kikosi cha Timu ya Taifa Tanzania.

Homa ya Jiji anasema ingependeza kama kungekuwa na utaratibu wa kuwaita wachezaji wa zamani kwenda kuzungumza na wachezaji wa sasa angalau hata kwa dakika 15.

Ni mahojiano maalumu aliyofanya kupitia kipindi cha Sports AM kilichoongozwa na mtangazaji @hassanahmedy_

(Imeandikwa na @allymufti_tz)

#SportsAM



(Feed generated with FetchRSS)

Comments (0)

User
🔒
SALAMA NA RAHISI KUJIUNGA

JIUNGE NA SOGA COMMUNITY

MASHABIKI WA MICHEZO NA MATUKIO DUNIANI WANAKUTANA HAPA. HAKUNA FUJO, HAKUNA MATUSI — NI MAZUNGUMZO YA MAANA NA MARAFIKI WAPYA.

✅ HAKUNA MADHARA KUJIUNGA NA CHAT YETU
✅ MFUMO UNAZUIA CHATS ZISIZOFAA
✅ KUBLOCK USER ASIYE NA MAADILI
✅ KUMSHITAKI NA KUMFUKUZA MTUMIAJI MBAYA
✅ KUFOLLOW NA KUBEFRIEND WATUMIAJI WENYE MAADILI

What's Your Reaction?

Like Like 0
Dislike Dislike 0
Love Love 0
Funny Funny 0
Wow Wow 0
Sad Sad 0
Angry Angry 0