YANGA SC | “Ukija harakaharaka utadhani ni Nyoka wanatembea...”

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Kamwe amesema kikosi hicho kinaendelea kujifua visiwani Zanzibar chini ya mfumo wa mazoezi na mbinu za kocha Fadlu Davids, huku akielezea namna mazoezi yanavyoendelea.
Kuhusu hali za majeruhi, Kamwe amesema Yao Kuassi na Duke Abuya wanaendelea vizuri na mazoezi hatua inayotia matumaini ya kurejea kikosini.
Hata hivyo, amesema Hussein Masalanga ambaye pia yupo Zanzibar na kikosi hicho ameshindwa kuendelea na mazoezi kutokana na majeraha.
Ni kupitia kipindi cha #Viwanjani kinachoongozwa na @ibrakasuga
✍ @katty_shirima
#YangaSC
(Feed generated with FetchRSS)

SALAMA NA RAHISI KUJIUNGA
JIUNGE NA SOGA COMMUNITY
MASHABIKI WA MICHEZO NA MATUKIO DUNIANI WANAKUTANA HAPA. HAKUNA FUJO, HAKUNA MATUSI — NI MAZUNGUMZO YA MAANA NA MARAFIKI WAPYA.
✅ HAKUNA MADHARA KUJIUNGA NA CHAT YETU
✅ MFUMO UNAZUIA CHATS ZISIZOFAA
✅ KUBLOCK USER ASIYE NA MAADILI
✅ KUMSHITAKI NA KUMFUKUZA MTUMIAJI MBAYA
✅ KUFOLLOW NA KUBEFRIEND WATUMIAJI WENYE MAADILI

What's Your Reaction?
Like
0
Dislike
0
Love
0
Funny
0
Wow
0
Sad
0
Angry
0
Comments (0)