YANGA SC | Kiungo wa Yanga SC, Maxi Nzengeli atakuwa nje ya uwanja kwa kipindi cha wiki sita baada ya kupata jeraha la goti, hat...
YANGA SC | Kiungo wa Yanga SC, Maxi Nzengeli atakuwa nje ya uwanja kwa kipindi cha wiki sita baada ya kupata jeraha la goti, hatua inayomuweka katika orodha ya wachezaji watakaokosekana kikosini kwa muda.
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Kamwe amesema taarifa ya awali iliyotolewa na Daktari wa timu hiyo, Dr. Moses Etutu imethibitisha jeraha la mchezaji huyo na muda anaotarajiwa kukaa nje.
Aidha, Kamwe amezungumzia hali ya Pacome ZouaZoua ambaye amesafiri kuelekea nchini Ufaransa kwa ajili ya kufanyiwa matibabu zaidi.
✍ @katty_shirima
#YangaSC
(Feed generated with FetchRSS)

SALAMA NA RAHISI KUJIUNGA
JIUNGE NA SOGA COMMUNITY
MASHABIKI WA MICHEZO NA MATUKIO DUNIANI WANAKUTANA HAPA. HAKUNA FUJO, HAKUNA MATUSI — NI MAZUNGUMZO YA MAANA NA MARAFIKI WAPYA.
✅ HAKUNA MADHARA KUJIUNGA NA CHAT YETU
✅ MFUMO UNAZUIA CHATS ZISIZOFAA
✅ KUBLOCK USER ASIYE NA MAADILI
✅ KUMSHITAKI NA KUMFUKUZA MTUMIAJI MBAYA
✅ KUFOLLOW NA KUBEFRIEND WATUMIAJI WENYE MAADILI
✅ MFUMO UNAZUIA CHATS ZISIZOFAA
✅ KUBLOCK USER ASIYE NA MAADILI
✅ KUMSHITAKI NA KUMFUKUZA MTUMIAJI MBAYA
✅ KUFOLLOW NA KUBEFRIEND WATUMIAJI WENYE MAADILI
What's Your Reaction?
Like
0
Dislike
0
Love
0
Funny
0
Wow
0
Sad
0
Angry
0
Comments (0)