AZAM FC: “….tuko vizuri kuliko msimu uliopita”

Kikosi cha Azam FC kinaendelea ‘kuvuja jasho’ mazoezini kujiandaa na hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Afrika, pamoja na mashindano mengine ikiwemo Ligi Kuu ya NBC.
Kocha wa kikosi hicho, Florent Ibenge ameeleza sababu za kuendelea kukiwasha mazoezini akisema malengo yao ni kufanya vizuri kuliko msimu uliopita..
Nao baadhi ya wachezaji wakiwemo Lusajo Mwaikenda na Zidane Sereri wameeleza matumaini yao ya kuondoka na kitu msimu huu…
Hii hapa taarifa kutoka kwa Godfrey Mzee…
(Feed generated with FetchRSS)

SALAMA NA RAHISI KUJIUNGA
JIUNGE NA SOGA COMMUNITY
MASHABIKI WA MICHEZO NA MATUKIO DUNIANI WANAKUTANA HAPA. HAKUNA FUJO, HAKUNA MATUSI — NI MAZUNGUMZO YA MAANA NA MARAFIKI WAPYA.
✅ HAKUNA MADHARA KUJIUNGA NA CHAT YETU
✅ MFUMO UNAZUIA CHATS ZISIZOFAA
✅ KUBLOCK USER ASIYE NA MAADILI
✅ KUMSHITAKI NA KUMFUKUZA MTUMIAJI MBAYA
✅ KUFOLLOW NA KUBEFRIEND WATUMIAJI WENYE MAADILI

What's Your Reaction?
Like
0
Dislike
0
Love
0
Funny
0
Wow
0
Sad
0
Angry
0
Comments (0)