#BDL2026 Baada ya game, Vijana wanaeleza kilichowaangusha, wakitaja baadhi kuwa ni uchovu pamoja na kuzidiwa ubora na uzoefu…

Oct 02, 2026 - 00:15
0 1
#BDL2026 Baada ya game, Vijana wanaeleza kilichowaangusha, wakitaja baadhi kuwa ni uchovu pamoja na kuzidiwa ubora na uzoefu…
#BDL2026 Baada ya game, Vijana wanaeleza kilichowaangusha, wakitaja baadhi kuwa ni uchovu pamoja na kuzidiwa ubora na uzoefu….

Pia wanaeleza sababu ya mabadiliko ya kikosi waliyoyafanya..

Haya hapa mazungumzo yaliyofanyika kwa kirefu baada ya game, zikihusika pande zote mbili… lakini likaibuka swali lingine kuhusu uwepo wa Musa Mzenji….!!!

FT: Vijana 31-84 Dar City (0-2)

Burudani ya kikapu bado tunayo LIVE #AzamSports5HD

#BDLeague2026 #BDL2026PlayOffs #LigiYaKikapuDarEsSalaam #BasketballDaresSalaamLeague #BDLeague #Vijana #DarCity



(Feed generated with FetchRSS)

Comments (0)

User
🔒
SALAMA NA RAHISI KUJIUNGA

JIUNGE NA SOGA COMMUNITY

MASHABIKI WA MICHEZO NA MATUKIO DUNIANI WANAKUTANA HAPA. HAKUNA FUJO, HAKUNA MATUSI — NI MAZUNGUMZO YA MAANA NA MARAFIKI WAPYA.

✅ HAKUNA MADHARA KUJIUNGA NA CHAT YETU
✅ MFUMO UNAZUIA CHATS ZISIZOFAA
✅ KUBLOCK USER ASIYE NA MAADILI
✅ KUMSHITAKI NA KUMFUKUZA MTUMIAJI MBAYA
✅ KUFOLLOW NA KUBEFRIEND WATUMIAJI WENYE MAADILI

What's Your Reaction?

Like Like 0
Dislike Dislike 0
Love Love 0
Funny Funny 0
Wow Wow 0
Sad Sad 0
Angry Angry 0