KARIAKOO DERBY | “Presha haiji kwa sababu ya mchezo mnaoenda kucheza tu, presha inasababishwa na zawadi mnazoahidiwa pia.”

Oct 07, 2026 - 11:15
0 1

Mchambuzi wa soka @jabir_aziz anaeleza sababu ya presha kuwa kubwa kwa wachezaji kuelekea mchezo wa Dabi; amesema ahadi za zawadi kutoka ndani na nje ya kambi huongezeka kuelekea mechi hizo hivyo presha kwa wachezaji huongezeka pia.

Ni kupitia kipindi cha #Viwanjani kinachoongozwa na @ibrakasuga

✍ @katty_shirima

#Viwanjani #AzamSports

(Feed generated with FetchRSS)

Comments (0)

User
🔒
SALAMA NA RAHISI KUJIUNGA

JIUNGE NA SOGA COMMUNITY

MASHABIKI WA MICHEZO NA MATUKIO DUNIANI WANAKUTANA HAPA. HAKUNA FUJO, HAKUNA MATUSI — NI MAZUNGUMZO YA MAANA NA MARAFIKI WAPYA.

✅ HAKUNA MADHARA KUJIUNGA NA CHAT YETU
✅ MFUMO UNAZUIA CHATS ZISIZOFAA
✅ KUBLOCK USER ASIYE NA MAADILI
✅ KUMSHITAKI NA KUMFUKUZA MTUMIAJI MBAYA
✅ KUFOLLOW NA KUBEFRIEND WATUMIAJI WENYE MAADILI

What's Your Reaction?

Like Like 0
Dislike Dislike 0
Love Love 0
Funny Funny 0
Wow Wow 0
Sad Sad 0
Angry Angry 0