ARUSHA NIGHT RUN KUFANYIKA OKTOBA 10: Maandalizi ya mbio za usiku za Arusha Night Run msimu wa sita yanaendelea, huku waandaaji ...
ARUSHA NIGHT RUN KUFANYIKA OKTOBA 10: Maandalizi ya mbio za usiku za Arusha Night Run msimu wa sita yanaendelea, huku waandaaji wakitoa wito kwa wananchi kujitokeza kushiriki mbio hizo zitakazofanyika Oktoba 10, 2026 katika viwanja vya Ngarenaro Sports Complex jijini Arusha.
Mkurugenzi wa Quality Sports Promoter, Exavery Tobias Chuwa amesema mbio hizo zitahusisha kilomita 5, 10 na 15, huku washiriki wakiwa ni watu wa rika mbalimbali kuanzia watoto wenye umri wa miaka 14, vijana hadi wazee.
Chuwa amesema wazo la kuanzisha mbio za usiku lilitokana na kuona namna zinavyofanyika katika nchi za Ulaya pamoja na uwepo wa miundombinu inayowezesha shughuli hiyo jijini Arusha.
Amesema usajili bado unaendelea na wananchi wote wanakaribishwa kushiriki.
Kwa upande wake Mkuu wa Mauzo na Masoko wa Happy Sausages Nishael Victor ambaye ni miongoni mwa wadhamini amesema udhamini huo unalenga kukuza uhusiano na jamii, pamoja na kukuza mchezo wa riadha Nchini,
Naye mwakilishi wa Mkurugenzi wa Kimotco, Collins Gasper amesema kampuni hiyo imedhamini mbio hizo kwa lengo la kuhamasisha jamii kutambua umuhimu wa mazoezi katika kuimarisha na kulinda afya ya mwili.
#ArushaNightRun
(Feed generated with FetchRSS)

SALAMA NA RAHISI KUJIUNGA
JIUNGE NA SOGA COMMUNITY
MASHABIKI WA MICHEZO NA MATUKIO DUNIANI WANAKUTANA HAPA. HAKUNA FUJO, HAKUNA MATUSI — NI MAZUNGUMZO YA MAANA NA MARAFIKI WAPYA.
✅ HAKUNA MADHARA KUJIUNGA NA CHAT YETU
✅ MFUMO UNAZUIA CHATS ZISIZOFAA
✅ KUBLOCK USER ASIYE NA MAADILI
✅ KUMSHITAKI NA KUMFUKUZA MTUMIAJI MBAYA
✅ KUFOLLOW NA KUBEFRIEND WATUMIAJI WENYE MAADILI

What's Your Reaction?
Like
0
Dislike
0
Love
0
Funny
0
Wow
0
Sad
0
Angry
0
Comments (0)