Mechi ya Kutoa Damu
Mechi ya Kutoa Damu
Kila mmoja anaomba Mungu ili timu yake ishinde. Simba wanaomba Mungu, Yanga wanaomba Mungu. Katika maombi ni muhimu pia kutoa sadaka…….!!! Mashabiki wote wanaombwa kuchangia damu katika vituo mbalimbali ambavyo vimeandaliwa na Mpango wa Taifa wa Kuchangia Damu Salama.
Utoaji damu utafanyika kuanzia asubuhi ya siku ya pambano, Jumamosi ya Oktoba 10, 2026
Mashabiki watembelee kwenye vituo vilivyoandaliwa rasmi ambavyo ni
1. Dar es Salaam-Uwanja wa Uhuru
2. Mwanza - Uwanja wa Nyamagana
3. Mbeya -Viwanja vya Kabwe
4. Arusha Kituo cha damu salama- Mount Meru Hospital
5. Mtwara -kituo cha damu salama
6. Dar es Salaam -Kituo cha damu salama hospitali ya Lugalo
7. Tabora- kituo cha damu salama
8. Dodoma -kituo cha Damu Salama cha Hospitali ya General ya Mkoa.
Pia, mashabiki wanashauriwa kutembelea vituo vya damu salama za kanda, hospitali za rufaa za mikoa na kanda.
Imetolewa na Mpango wa Damu Salama kwa kushirikiana na Giver na Azam Media Limited.
#KariakooDerby #Simba #Yanga

(Feed generated with FetchRSS)

SALAMA NA RAHISI KUJIUNGA
JIUNGE NA SOGA COMMUNITY
MASHABIKI WA MICHEZO NA MATUKIO DUNIANI WANAKUTANA HAPA. HAKUNA FUJO, HAKUNA MATUSI — NI MAZUNGUMZO YA MAANA NA MARAFIKI WAPYA.
✅ HAKUNA MADHARA KUJIUNGA NA CHAT YETU
✅ MFUMO UNAZUIA CHATS ZISIZOFAA
✅ KUBLOCK USER ASIYE NA MAADILI
✅ KUMSHITAKI NA KUMFUKUZA MTUMIAJI MBAYA
✅ KUFOLLOW NA KUBEFRIEND WATUMIAJI WENYE MAADILI

What's Your Reaction?
Like
0
Dislike
0
Love
0
Funny
0
Wow
0
Sad
0
Angry
0
Comments (0)