#KariakooDerby: Kiongozi wa zamani wa Simba SC, Said Tully amekumbushia namna yalivyokuwa enzi za utawala wao akisema kwamba kiw...

Oct 06, 2026 - 08:15
0 1
#KariakooDerby: Kiongozi wa zamani wa Simba SC, Said Tully amekumbushia namna yalivyokuwa enzi za utawala wao akisema kwamba kiw...
#KariakooDerby: Kiongozi wa zamani wa Simba SC, Said Tully amekumbushia namna yalivyokuwa enzi za utawala wao akisema kwamba kiwango cha ahadi walizokuwa wanatoa kwa wachezaji kuelekea #KariakooDerby ni tofauti na sasa.

Tully anasema kiasi cha pesa kilichokuwa kinatolewa kwa wachezaji enzi zao, sasahivi kinakwenda kwa mchezaji mmoja tu.

Tully amezungumzia ugumu wa mechi ya Dabi ya Kariakoo ambayo itachezwa Oktoba 10, 2026.

(Imeandikwa na @allymufti_tz)

#KariakooDerby #Simba #Yanga



(Feed generated with FetchRSS)

Comments (0)

User
🔒
SALAMA NA RAHISI KUJIUNGA

JIUNGE NA SOGA COMMUNITY

MASHABIKI WA MICHEZO NA MATUKIO DUNIANI WANAKUTANA HAPA. HAKUNA FUJO, HAKUNA MATUSI — NI MAZUNGUMZO YA MAANA NA MARAFIKI WAPYA.

✅ HAKUNA MADHARA KUJIUNGA NA CHAT YETU
✅ MFUMO UNAZUIA CHATS ZISIZOFAA
✅ KUBLOCK USER ASIYE NA MAADILI
✅ KUMSHITAKI NA KUMFUKUZA MTUMIAJI MBAYA
✅ KUFOLLOW NA KUBEFRIEND WATUMIAJI WENYE MAADILI

What's Your Reaction?

Like Like 0
Dislike Dislike 0
Love Love 0
Funny Funny 0
Wow Wow 0
Sad Sad 0
Angry Angry 0