#BDL2026 Ukafika wakati Patrick Nyembera akwaachia mic makocha wa pande zote mbili ili waulizane maswali, na ikawa hivyo, kila u...
#BDL2026 Ukafika wakati Patrick Nyembera akwaachia mic makocha wa pande zote mbili ili waulizane maswali, na ikawa hivyo, kila upande ukajibu maswali ya mwenzake…
…lakini mwishoni, linafichuka jambo kuhusu ‘Patoo Six’, kwamba makocha wote wawili wamecheza na Patrick Nyembera ambaye amekuachia swali hapo mwishoni.
Kaa tayari kwa game 3, Je, itakuwa ni Vijana, au Dar City watamaliza kazi kwa kushinda game 3 na kwenda fainali?
Kumbuka hii ni nusu fainali, Best of Five Series.
FT: Vijana 31-84 Dar City (0-2)
Burudani ya kikapu bado tunayo LIVE #AzamSports5HD
#BDLeague2026 #BDL2026PlayOffs #LigiYaKikapuDarEsSalaam #BasketballDaresSalaamLeague #BDLeague #Vijana #DarCity
(Feed generated with FetchRSS)

SALAMA NA RAHISI KUJIUNGA
JIUNGE NA SOGA COMMUNITY
MASHABIKI WA MICHEZO NA MATUKIO DUNIANI WANAKUTANA HAPA. HAKUNA FUJO, HAKUNA MATUSI — NI MAZUNGUMZO YA MAANA NA MARAFIKI WAPYA.
✅ HAKUNA MADHARA KUJIUNGA NA CHAT YETU
✅ MFUMO UNAZUIA CHATS ZISIZOFAA
✅ KUBLOCK USER ASIYE NA MAADILI
✅ KUMSHITAKI NA KUMFUKUZA MTUMIAJI MBAYA
✅ KUFOLLOW NA KUBEFRIEND WATUMIAJI WENYE MAADILI
✅ MFUMO UNAZUIA CHATS ZISIZOFAA
✅ KUBLOCK USER ASIYE NA MAADILI
✅ KUMSHITAKI NA KUMFUKUZA MTUMIAJI MBAYA
✅ KUFOLLOW NA KUBEFRIEND WATUMIAJI WENYE MAADILI
What's Your Reaction?
Like
0
Dislike
0
Love
0
Funny
0
Wow
0
Sad
0
Angry
0
Comments (0)