DRC | “Ni nchi yenye timu nyingi zinazotoa kimasomaso ikiwemo TP Mazembe,” Mtangazaji wa Azam TV, @gharib_mzinga23 akieleza namn...

Jun 08, 2026 - 10:15
0 0
DRC | “Ni nchi yenye timu nyingi zinazotoa kimasomaso ikiwemo TP Mazembe,” Mtangazaji wa Azam TV, @gharib_mzinga23 akieleza namn...
DRC | “Ni nchi yenye timu nyingi zinazotoa kimasomaso ikiwemo TP Mazembe,” Mtangazaji wa Azam TV, @gharib_mzinga23 akieleza namna Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ilivyo na klabu mbalimbali zinazofanya vizuri katika soka.

Amesema kuwa kwa sasa TP Mazembe ndiyo klabu pekee katika ukanda wa kusini mwa Jangwa la Sahara ambayo imefanikiwa kutwaa mataji mengi ya klabu barani Afrika, hatua inayoifanya kuwa miongoni mwa timu kubwa na zenye heshima katika historia ya soka la Afrika.

Imeandaliwa na @rajjmsangi

##MakalaMaalumDRC #AzamSports

Comments (0)

User
🔒
SALAMA NA RAHISI KUJIUNGA

JIUNGE NA SOGA COMMUNITY

MASHABIKI WA MICHEZO NA MATUKIO DUNIANI WANAKUTANA HAPA. HAKUNA FUJO, HAKUNA MATUSI — NI MAZUNGUMZO YA MAANA NA MARAFIKI WAPYA.

✅ HAKUNA MADHARA KUJIUNGA NA CHAT YETU
✅ MFUMO UNAZUIA CHATS ZISIZOFAA
✅ KUBLOCK USER ASIYE NA MAADILI
✅ KUMSHITAKI NA KUMFUKUZA MTUMIAJI MBAYA
✅ KUFOLLOW NA KUBEFRIEND WATUMIAJI WENYE MAADILI

What's Your Reaction?

Like Like 0
Dislike Dislike 0
Love Love 0
Funny Funny 0
Wow Wow 0
Sad Sad 0
Angry Angry 0