SOKA LA DRC | Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) ni miongoni mwa mataifa yenye historia kubwa ya soka barani Afrika
SOKA LA DRC | Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) ni miongoni mwa mataifa yenye historia kubwa ya soka barani Afrika.
Licha ya kukumbwa na changamoto mbalimbali za kiuchumi na kijamii, DRC imeendelea kuwa kitovu cha kuzalisha vipaji vinavyocheza katika ligi kubwa duniani na kuipa timu ya taifa ushindani katika michuano ya kimataifa.
Usikose kutazama makala hii maalum ikieleza namna nchi hiyo ilivyokuwa na vipaji kwenye eneo la soka hadi kuwa miongoni mwa timu zitakzoshiriki fainali za Kombe la Dunia 2026.
Ni kuanzia saa 7:00 mchana kupitia #AzamSports1HD na marudio yake ni saa 4:00 Usiku.
Mhariri | @rajjmsangi
#MakalaMaalumDRC #AzamSports

SALAMA NA RAHISI KUJIUNGA
JIUNGE NA SOGA COMMUNITY
MASHABIKI WA MICHEZO NA MATUKIO DUNIANI WANAKUTANA HAPA. HAKUNA FUJO, HAKUNA MATUSI β NI MAZUNGUMZO YA MAANA NA MARAFIKI WAPYA.
β
HAKUNA MADHARA KUJIUNGA NA CHAT YETU
β MFUMO UNAZUIA CHATS ZISIZOFAA
β KUBLOCK USER ASIYE NA MAADILI
β KUMSHITAKI NA KUMFUKUZA MTUMIAJI MBAYA
β KUFOLLOW NA KUBEFRIEND WATUMIAJI WENYE MAADILI
β MFUMO UNAZUIA CHATS ZISIZOFAA
β KUBLOCK USER ASIYE NA MAADILI
β KUMSHITAKI NA KUMFUKUZA MTUMIAJI MBAYA
β KUFOLLOW NA KUBEFRIEND WATUMIAJI WENYE MAADILI
What's Your Reaction?
Like
0
Dislike
0
Love
0
Funny
0
Wow
0
Sad
0
Angry
0
Comments (0)