JANGWANI MAFUSO | Tawi la Yanga ‘Jangwani Mafuso’ limezinduliwa rasmi leo Juni 6, 2026
JANGWANI MAFUSO | Tawi la Yanga ‘Jangwani Mafuso’ limezinduliwa rasmi leo Juni 6, 2026.
Aliyezindua tawi hilo lililoko eneo la Mafuso, Jangwani Dar es Salaam, ni Afisa Matawi na Wanachama kutoka Yanga SC, Cliford Lugola.
Wakizungumza katika hafla ya uzinduzi, mwenyekiti wa tawi hilo, Jimmy Paul na makamu wake Bruhan Temba, wametoa shukran kwa uongozi Yanga SC pamoja na kuelezea furaha yao kwa kufanikisha kukamilisha mchakato wa kufungua tawi hilo.

SALAMA NA RAHISI KUJIUNGA
JIUNGE NA SOGA COMMUNITY
MASHABIKI WA MICHEZO NA MATUKIO DUNIANI WANAKUTANA HAPA. HAKUNA FUJO, HAKUNA MATUSI — NI MAZUNGUMZO YA MAANA NA MARAFIKI WAPYA.
✅ HAKUNA MADHARA KUJIUNGA NA CHAT YETU
✅ MFUMO UNAZUIA CHATS ZISIZOFAA
✅ KUBLOCK USER ASIYE NA MAADILI
✅ KUMSHITAKI NA KUMFUKUZA MTUMIAJI MBAYA
✅ KUFOLLOW NA KUBEFRIEND WATUMIAJI WENYE MAADILI
✅ MFUMO UNAZUIA CHATS ZISIZOFAA
✅ KUBLOCK USER ASIYE NA MAADILI
✅ KUMSHITAKI NA KUMFUKUZA MTUMIAJI MBAYA
✅ KUFOLLOW NA KUBEFRIEND WATUMIAJI WENYE MAADILI
What's Your Reaction?
Like
0
Dislike
0
Love
0
Funny
0
Wow
0
Sad
0
Angry
0
Comments (0)