KariakooDerby | “Ujasiri unakuja kutokana na ile ari ya wewe kuwa Simba.”

Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally amesema ujasiri wa timu hiyo kuelekea mchezo wa Kariakoo Derby unatokana na ari ya wachezaji pamoja na matokeo mazuri waliyopata katika michezo ya hivi karibuni.
Ahmed amesema Derby hiyo itakuwa na nafasi ya kutoa majibu kuhusu uwezo na hali ya Simba SC kwa sasa.
✍ @katty_shirima
Mhariri | @allymufti_tz
#KariakooDerby #Simba
(Feed generated with FetchRSS)

SALAMA NA RAHISI KUJIUNGA
JIUNGE NA SOGA COMMUNITY
MASHABIKI WA MICHEZO NA MATUKIO DUNIANI WANAKUTANA HAPA. HAKUNA FUJO, HAKUNA MATUSI — NI MAZUNGUMZO YA MAANA NA MARAFIKI WAPYA.
✅ HAKUNA MADHARA KUJIUNGA NA CHAT YETU
✅ MFUMO UNAZUIA CHATS ZISIZOFAA
✅ KUBLOCK USER ASIYE NA MAADILI
✅ KUMSHITAKI NA KUMFUKUZA MTUMIAJI MBAYA
✅ KUFOLLOW NA KUBEFRIEND WATUMIAJI WENYE MAADILI

What's Your Reaction?
Like
0
Dislike
0
Love
0
Funny
0
Wow
0
Sad
0
Angry
0
Comments (0)