KWAHERI MGENI: Idara ya Masoko ya Azam TV imezindua kampeni kabambe ya masoko kuelekea fainali ya Kombe la Dunia 2026
KWAHERI MGENI: Idara ya Masoko ya Azam TV imezindua kampeni kabambe ya masoko kuelekea fainali ya Kombe la Dunia 2026.
Kampeni hii inalenga kuhamasisha umma ikisindikizwa na kaulimbiu ya "Burudani kwa Wote".
Kampeni hiyo inaratibiwa na Meneja Masoko wa Kanda ya Dar es Salaam, Gorge Kaurananga , ikiwakumbusha watumiaji wa kisimbuzi cha #AzamTV kwamba wameshazitazama mechi 102 za Kombe la Dunia na sasa wajiandae kwa uhondo wa mechi mbili zilizosalia ambazo ni za Mshindi wa Tatu na Fainali yenyewe ili kutimiza ile idadi ya mechi 104 tulizowaahidi.
#KombeLaDunia2026 #KwaheriMgeni
(Feed generated with FetchRSS)

SALAMA NA RAHISI KUJIUNGA
JIUNGE NA SOGA COMMUNITY
MASHABIKI WA MICHEZO NA MATUKIO DUNIANI WANAKUTANA HAPA. HAKUNA FUJO, HAKUNA MATUSI — NI MAZUNGUMZO YA MAANA NA MARAFIKI WAPYA.
✅ HAKUNA MADHARA KUJIUNGA NA CHAT YETU
✅ MFUMO UNAZUIA CHATS ZISIZOFAA
✅ KUBLOCK USER ASIYE NA MAADILI
✅ KUMSHITAKI NA KUMFUKUZA MTUMIAJI MBAYA
✅ KUFOLLOW NA KUBEFRIEND WATUMIAJI WENYE MAADILI
✅ MFUMO UNAZUIA CHATS ZISIZOFAA
✅ KUBLOCK USER ASIYE NA MAADILI
✅ KUMSHITAKI NA KUMFUKUZA MTUMIAJI MBAYA
✅ KUFOLLOW NA KUBEFRIEND WATUMIAJI WENYE MAADILI
What's Your Reaction?
Like
0
Dislike
0
Love
0
Funny
0
Wow
0
Sad
0
Angry
0
Comments (0)