SUMA JKT MARATHON: Mkurugenzi Mtendaji wa SUMAJKT Brigedia Jenerali Petro Ngata ametembelea eneo la Medeli East litakapofanyika ...

Jun 06, 2026 - 20:15
0 0
SUMA JKT MARATHON: Mkurugenzi Mtendaji wa SUMAJKT Brigedia Jenerali Petro Ngata ametembelea eneo la Medeli East litakapofanyika ...
SUMA JKT MARATHON: Mkurugenzi Mtendaji wa SUMAJKT Brigedia Jenerali Petro Ngata ametembelea eneo la Medeli East litakapofanyika tukio la mbio za SUMA JKT Marathon kesho Juni 7, 2026.

Akizungumza na Waandishi wa Habari, Brigedia Jenerali Ngata amewakaribisha wananchi kuendelea kujiandikisha ili waweze kushiriki mbio hizo za aina yake.

Kwa upande wake Lilian Lyimo ambaye ni Afisa Masoko SUMA JKT Guard Ltd, amesema kampuni hiyo imejipanga kuwapa huduma bora za kiafya na ulinzi washiriki katika kipindi chote cha mbio hizo.

#SUMAJKTMarathon #Marathon

Comments (0)

User
🔒
SALAMA NA RAHISI KUJIUNGA

JIUNGE NA SOGA COMMUNITY

MASHABIKI WA MICHEZO NA MATUKIO DUNIANI WANAKUTANA HAPA. HAKUNA FUJO, HAKUNA MATUSI — NI MAZUNGUMZO YA MAANA NA MARAFIKI WAPYA.

✅ HAKUNA MADHARA KUJIUNGA NA CHAT YETU
✅ MFUMO UNAZUIA CHATS ZISIZOFAA
✅ KUBLOCK USER ASIYE NA MAADILI
✅ KUMSHITAKI NA KUMFUKUZA MTUMIAJI MBAYA
✅ KUFOLLOW NA KUBEFRIEND WATUMIAJI WENYE MAADILI

What's Your Reaction?

Like Like 0
Dislike Dislike 0
Love Love 0
Funny Funny 0
Wow Wow 0
Sad Sad 0
Angry Angry 0