AZAM FC: Kocha msaidizi wa Azam FC, Kassim Liogope na nahodha wa timu hiyo Lusajo Mwaikenda, wamezungumzia maandalizi waliyoyafa...

Oct 06, 2026 - 08:15
0 0
AZAM FC: Kocha msaidizi wa Azam FC, Kassim Liogope na nahodha wa timu hiyo Lusajo Mwaikenda, wamezungumzia maandalizi waliyoyafa...
AZAM FC: Kocha msaidizi wa Azam FC, Kassim Liogope na nahodha wa timu hiyo Lusajo Mwaikenda, wamezungumzia maandalizi waliyoyafanya katika mapumziko ya kupisha kalenda ya FIFA, kabla ya kurejea kwenye hekaheka za NBC Premier League.

Azam FC itarejea uwanjani kwa kuivaa Coastal Union kwenye mchezo utakaopigwa Oktoba 8, 2026, jijini Tanga.

#AzamFC



(Feed generated with FetchRSS)

Comments (0)

User
🔒
SALAMA NA RAHISI KUJIUNGA

JIUNGE NA SOGA COMMUNITY

MASHABIKI WA MICHEZO NA MATUKIO DUNIANI WANAKUTANA HAPA. HAKUNA FUJO, HAKUNA MATUSI — NI MAZUNGUMZO YA MAANA NA MARAFIKI WAPYA.

✅ HAKUNA MADHARA KUJIUNGA NA CHAT YETU
✅ MFUMO UNAZUIA CHATS ZISIZOFAA
✅ KUBLOCK USER ASIYE NA MAADILI
✅ KUMSHITAKI NA KUMFUKUZA MTUMIAJI MBAYA
✅ KUFOLLOW NA KUBEFRIEND WATUMIAJI WENYE MAADILI

What's Your Reaction?

Like Like 0
Dislike Dislike 0
Love Love 0
Funny Funny 0
Wow Wow 0
Sad Sad 0
Angry Angry 0