AZAM FC | Mashabiki wa Azam fc mkoani Morogoro wameushukuru uongozi wa timu hiyo kwa kuwasogozea jezi mpya za msimu karibu na ma...

Aug 21, 2026 - 19:15
0 1
AZAM FC | Mashabiki wa Azam fc mkoani Morogoro wameushukuru uongozi wa timu hiyo kwa kuwasogozea jezi mpya za msimu karibu na ma...
AZAM FC | Mashabiki wa Azam fc mkoani Morogoro wameushukuru uongozi wa timu hiyo kwa kuwasogozea jezi mpya za msimu karibu na maeneo yao.

Mashabiki hao wamesema kuwa uwepo wa jezi hizo kwa mawakala zinarahisisha upatikanaji wake huku wakisifia ubora wa jezi zilizotolewa.

Imeandaliwa na Theresia Mwanga
Mhariri | @rajjmsangi

#AzamFc #Jezi



(Feed generated with FetchRSS)

Comments (0)

User
🔒
SALAMA NA RAHISI KUJIUNGA

JIUNGE NA SOGA COMMUNITY

MASHABIKI WA MICHEZO NA MATUKIO DUNIANI WANAKUTANA HAPA. HAKUNA FUJO, HAKUNA MATUSI — NI MAZUNGUMZO YA MAANA NA MARAFIKI WAPYA.

✅ HAKUNA MADHARA KUJIUNGA NA CHAT YETU
✅ MFUMO UNAZUIA CHATS ZISIZOFAA
✅ KUBLOCK USER ASIYE NA MAADILI
✅ KUMSHITAKI NA KUMFUKUZA MTUMIAJI MBAYA
✅ KUFOLLOW NA KUBEFRIEND WATUMIAJI WENYE MAADILI

What's Your Reaction?

Like Like 0
Dislike Dislike 0
Love Love 0
Funny Funny 0
Wow Wow 0
Sad Sad 0
Angry Angry 0