FOUNTAIN GATE vs MASHUJAA: Kocha Mkuu wa Fountain Gate FC, Fred Felix (Minziro) amesema kikosi chake kipo tayari kupambana kwa n...

Aug 17, 2026 - 12:15
0 0
FOUNTAIN GATE vs MASHUJAA: Kocha Mkuu wa Fountain Gate FC, Fred Felix (Minziro) amesema kikosi chake kipo tayari kupambana kwa n...
FOUNTAIN GATE vs MASHUJAA: Kocha Mkuu wa Fountain Gate FC, Fred Felix (Minziro) amesema kikosi chake kipo tayari kupambana kwa nguvu katika mchezo wao wa NBC Premier League dhidi ya Mashujaa FC, wakilenga kupata matokeo mazuri mbele ya mashabiki wao.

Minziro amesema kurejea nyumbani kunawapa morali zaidi, huku akibainisha kuwa wamefanyia kazi makosa yaliyojitokeza katika mchezo uliopita ili kuhakikisha wanakuwa bora zaidi katika mchezo huo.

Kwa upande wake mchezaji wa timu hiyo, Sadiki Said amesema wachezaji wanatambua umuhim wa mchezo huo na wana kila sababu ya kapata alama tatu.

Mechi itapigwa kesho Agosti 18, 2026; na itakuwa LIVE #AzamSports1HD kuanzia saa 10:00 jioni

#NBCPL #LigiKuuYaNBC #FountainGate #MashujaaFC #FountainGateMashujaaFC



(Feed generated with FetchRSS)

Comments (0)

User
🔒
SALAMA NA RAHISI KUJIUNGA

JIUNGE NA SOGA COMMUNITY

MASHABIKI WA MICHEZO NA MATUKIO DUNIANI WANAKUTANA HAPA. HAKUNA FUJO, HAKUNA MATUSI — NI MAZUNGUMZO YA MAANA NA MARAFIKI WAPYA.

✅ HAKUNA MADHARA KUJIUNGA NA CHAT YETU
✅ MFUMO UNAZUIA CHATS ZISIZOFAA
✅ KUBLOCK USER ASIYE NA MAADILI
✅ KUMSHITAKI NA KUMFUKUZA MTUMIAJI MBAYA
✅ KUFOLLOW NA KUBEFRIEND WATUMIAJI WENYE MAADILI

What's Your Reaction?

Like Like 0
Dislike Dislike 0
Love Love 0
Funny Funny 0
Wow Wow 0
Sad Sad 0
Angry Angry 0