KOMBE LA DUNIA 2026 | Mtangazaji wa kandanda wa Azam Media na Mchambuzi mbobevu wa soka la kimataifa, @gharib_mzinga23 amesema y...

Jun 06, 2026 - 02:15
0 0
KOMBE LA DUNIA 2026 | Mtangazaji wa kandanda wa Azam Media na Mchambuzi mbobevu wa soka la kimataifa, @gharib_mzinga23 amesema y...
KOMBE LA DUNIA 2026 | Mtangazaji wa kandanda wa Azam Media na Mchambuzi mbobevu wa soka la kimataifa, @gharib_mzinga23 amesema yupo tayari kutoa burudani ya Matangazo kwa lugha ya Kiswahili, huku akiwa na matarajio ya fainali bora za kombe la dunia kutokana na mataifa shiriki.

Michuano ya #FIFAWorldCup2026 itaanza Juni 11 hadi Julai 19, 2026 na kuruka LIVE kupitia chaneli za #AzamSports

Mhariri | @rajjmsangi

#FWC26 #FIFAWorldCup #WeAre26 #FIFAWorldCup2026NyumbaniAzamTV #MechiZote104LiveAzamTV

Comments (0)

User
πŸ”’
SALAMA NA RAHISI KUJIUNGA

JIUNGE NA SOGA COMMUNITY

MASHABIKI WA MICHEZO NA MATUKIO DUNIANI WANAKUTANA HAPA. HAKUNA FUJO, HAKUNA MATUSI β€” NI MAZUNGUMZO YA MAANA NA MARAFIKI WAPYA.

βœ… HAKUNA MADHARA KUJIUNGA NA CHAT YETU
βœ… MFUMO UNAZUIA CHATS ZISIZOFAA
βœ… KUBLOCK USER ASIYE NA MAADILI
βœ… KUMSHITAKI NA KUMFUKUZA MTUMIAJI MBAYA
βœ… KUFOLLOW NA KUBEFRIEND WATUMIAJI WENYE MAADILI

What's Your Reaction?

Like Like 0
Dislike Dislike 0
Love Love 0
Funny Funny 0
Wow Wow 0
Sad Sad 0
Angry Angry 0