KUOGELEA | Mashindano ya 10 ya mchezo wa kuogelea kwa vijana wenye umri ya miaka 12, yameanza leo Juni 6, 2026 katika bwawa la s...

Jun 07, 2026 - 04:15
0 0
KUOGELEA | Mashindano ya 10 ya mchezo wa kuogelea kwa vijana wenye umri ya miaka 12, yameanza leo Juni 6, 2026 katika bwawa la s...
KUOGELEA | Mashindano ya 10 ya mchezo wa kuogelea kwa vijana wenye umri ya miaka 12, yameanza leo Juni 6, 2026 katika bwawa la shule ya IST Masaki Dar es Salaam.

Lengo la mashindano hayo ni kuibua vipaji vya mchezo huo kwa watoto kama anavyoeleza hapa Mkurugenzi wa Ufundi Chama cha Kuogelea Tanzania, Amina Mfaume.

#Swimming #Kuogelea

Comments (0)

User
πŸ”’
SALAMA NA RAHISI KUJIUNGA

JIUNGE NA SOGA COMMUNITY

MASHABIKI WA MICHEZO NA MATUKIO DUNIANI WANAKUTANA HAPA. HAKUNA FUJO, HAKUNA MATUSI β€” NI MAZUNGUMZO YA MAANA NA MARAFIKI WAPYA.

βœ… HAKUNA MADHARA KUJIUNGA NA CHAT YETU
βœ… MFUMO UNAZUIA CHATS ZISIZOFAA
βœ… KUBLOCK USER ASIYE NA MAADILI
βœ… KUMSHITAKI NA KUMFUKUZA MTUMIAJI MBAYA
βœ… KUFOLLOW NA KUBEFRIEND WATUMIAJI WENYE MAADILI

What's Your Reaction?

Like Like 0
Dislike Dislike 0
Love Love 0
Funny Funny 0
Wow Wow 0
Sad Sad 0
Angry Angry 0