KURASA ZA MWISHO : '' makipa ambao hawajajifunza watapewa sana kadi nyekundu'', Mwandishi wa michezo Khatimu Naheka akizungumzia...

Jun 06, 2026 - 11:15
0 0
KURASA ZA MWISHO : '' makipa ambao hawajajifunza watapewa sana kadi nyekundu'', Mwandishi wa michezo Khatimu Naheka akizungumzia...
KURASA ZA MWISHO : '' makipa ambao hawajajifunza watapewa sana kadi nyekundu'', Mwandishi wa michezo Khatimu Naheka akizungumzia miongoni mwa maboresho makubwa yaliyofanywa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) kwenye michuano ya Kombe la Dunia mwaka huu.

Amesema mabadiliko hayo yanatoa tafsiri nzuri kwa wachezaji na magoli kipa kutopoteza muda wakati wa mechi ili kupunguza 'presha' kwa timu pinzani.

Michuano ya #FIFAWorldCup2026 itaanza Juni 11 hadi Julai 19, 2026 na kuruka LIVE kupitia chaneli za #AzamSports

Mhariri | @rajjmsangi

#FWC26 #FIFAWorldCup #WeAre26 #FIFAWorldCup2026NyumbaniAzamTV #MechiZote104LiveAzamTV

#KurasaZaMwisho

Comments (0)

User
🔒
SALAMA NA RAHISI KUJIUNGA

JIUNGE NA SOGA COMMUNITY

MASHABIKI WA MICHEZO NA MATUKIO DUNIANI WANAKUTANA HAPA. HAKUNA FUJO, HAKUNA MATUSI — NI MAZUNGUMZO YA MAANA NA MARAFIKI WAPYA.

✅ HAKUNA MADHARA KUJIUNGA NA CHAT YETU
✅ MFUMO UNAZUIA CHATS ZISIZOFAA
✅ KUBLOCK USER ASIYE NA MAADILI
✅ KUMSHITAKI NA KUMFUKUZA MTUMIAJI MBAYA
✅ KUFOLLOW NA KUBEFRIEND WATUMIAJI WENYE MAADILI

What's Your Reaction?

Like Like 0
Dislike Dislike 0
Love Love 0
Funny Funny 0
Wow Wow 0
Sad Sad 0
Angry Angry 0