#NBCPL: Kocha wa Namungo FC, Juma Mgunda anasema itabidi akazungumze na golikipa wake pamoja na kocha wa magolikipa kutoka na ma...

Aug 16, 2026 - 09:15
0 0
#NBCPL: Kocha wa Namungo FC, Juma Mgunda anasema itabidi akazungumze na golikipa wake pamoja na kocha wa magolikipa kutoka na ma...
#NBCPL: Kocha wa Namungo FC, Juma Mgunda anasema itabidi akazungumze na golikipa wake pamoja na kocha wa magolikipa kutoka na makossa yaliyosababisha kufungwa leo na Yanga SC.

Kwa upande wake Kocha Manqoba Mngqithi wa Yanga SC anasema hana shaka na mshambuliaji wake Peter Shalulile kwasababu atakwenda kusababusha shida kwa mabeki na ndio maana kuna wakati wanamzawadia magoli kwa hofu.

FT: Namungo FC 1-3 Yanga SC

Ilikuwa LIVE #AzamSports1HD

#NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #NamungoVsYanga #NamungoYanga



(Feed generated with FetchRSS)

Comments (0)

User
🔒
SALAMA NA RAHISI KUJIUNGA

JIUNGE NA SOGA COMMUNITY

MASHABIKI WA MICHEZO NA MATUKIO DUNIANI WANAKUTANA HAPA. HAKUNA FUJO, HAKUNA MATUSI — NI MAZUNGUMZO YA MAANA NA MARAFIKI WAPYA.

✅ HAKUNA MADHARA KUJIUNGA NA CHAT YETU
✅ MFUMO UNAZUIA CHATS ZISIZOFAA
✅ KUBLOCK USER ASIYE NA MAADILI
✅ KUMSHITAKI NA KUMFUKUZA MTUMIAJI MBAYA
✅ KUFOLLOW NA KUBEFRIEND WATUMIAJI WENYE MAADILI

What's Your Reaction?

Like Like 0
Dislike Dislike 0
Love Love 0
Funny Funny 0
Wow Wow 0
Sad Sad 0
Angry Angry 0