SPORTS AM | Azma ya Serikali ya kuimarisha sekta ya michezo nchini imeendelea kupata uungwaji mkono kutoka kwa wadau mbalimbali ...

Jun 08, 2026 - 10:15
0 0
SPORTS AM | Azma ya Serikali ya kuimarisha sekta ya michezo nchini imeendelea kupata uungwaji mkono kutoka kwa wadau mbalimbali ...
SPORTS AM | Azma ya Serikali ya kuimarisha sekta ya michezo nchini imeendelea kupata uungwaji mkono kutoka kwa wadau mbalimbali wa taasisi binafsi, ambao wanaendelea kuchangia maendeleo ya michezo mashuleni kupitia mashindano ya UMISETA.

Akizungumza mjini Singida wakati wa hafla ya kukabidhi vifaa vya michezo kwa shule zinazoshiriki mashindano hayo, Mkurugenzi wa City Institute Dar es Salaam, Shabani Mwanga, amesema mchango huo ni sehemu ya kuunga mkono juhudi za Serikali katika kuibua na kuendeleza vipaji vya vijana.

Amesema michezo ni nyenzo muhimu ya kukuza vipaji na kuandaa wanamichezo watakaoliiwakilisha taifa katika mashindano mbalimbali ya kitaifa na kimataifa.

Mhariri | @rajjmsangi

#SportsAM #uMISETA

Comments (0)

User
πŸ”’
SALAMA NA RAHISI KUJIUNGA

JIUNGE NA SOGA COMMUNITY

MASHABIKI WA MICHEZO NA MATUKIO DUNIANI WANAKUTANA HAPA. HAKUNA FUJO, HAKUNA MATUSI β€” NI MAZUNGUMZO YA MAANA NA MARAFIKI WAPYA.

βœ… HAKUNA MADHARA KUJIUNGA NA CHAT YETU
βœ… MFUMO UNAZUIA CHATS ZISIZOFAA
βœ… KUBLOCK USER ASIYE NA MAADILI
βœ… KUMSHITAKI NA KUMFUKUZA MTUMIAJI MBAYA
βœ… KUFOLLOW NA KUBEFRIEND WATUMIAJI WENYE MAADILI

What's Your Reaction?

Like Like 0
Dislike Dislike 0
Love Love 0
Funny Funny 0
Wow Wow 0
Sad Sad 0
Angry Angry 0