SPORTS AM |“Uwepo wa Mbappé, Messi na Ronaldo unaongeza ushindani mkubwa, kwani wote wana uwezo wa kuisaidia timu yao kutwaa Kom...
SPORTS AM |“Uwepo wa Mbappé, Messi na Ronaldo unaongeza ushindani mkubwa, kwani wote wana uwezo wa kuisaidia timu yao kutwaa Kombe la Dunia 2026,” Mchambuzi wa michezo, Evance Malya, akizungumzia ugumu unaotarajiwa kushuhudiwa katika fainali za michuano hiyo.
Malya amesema ubora wa mchezaji haupimwi tu kwa mafanikio anayoyapata akiwa kwenye ligi za kawaida, bali huonekana zaidi katika mashindano makubwa kama Kombe la Dunia, ambapo wachezaji hulazimika kuonyesha uwezo wao katika kiwango cha juu zaidi na kusaidia timu zao kufikia malengo.
Mhariri | @rajjmsangi
#SportsAM

SALAMA NA RAHISI KUJIUNGA
JIUNGE NA SOGA COMMUNITY
MASHABIKI WA MICHEZO NA MATUKIO DUNIANI WANAKUTANA HAPA. HAKUNA FUJO, HAKUNA MATUSI — NI MAZUNGUMZO YA MAANA NA MARAFIKI WAPYA.
✅ HAKUNA MADHARA KUJIUNGA NA CHAT YETU
✅ MFUMO UNAZUIA CHATS ZISIZOFAA
✅ KUBLOCK USER ASIYE NA MAADILI
✅ KUMSHITAKI NA KUMFUKUZA MTUMIAJI MBAYA
✅ KUFOLLOW NA KUBEFRIEND WATUMIAJI WENYE MAADILI
✅ MFUMO UNAZUIA CHATS ZISIZOFAA
✅ KUBLOCK USER ASIYE NA MAADILI
✅ KUMSHITAKI NA KUMFUKUZA MTUMIAJI MBAYA
✅ KUFOLLOW NA KUBEFRIEND WATUMIAJI WENYE MAADILI
What's Your Reaction?
Like
0
Dislike
0
Love
0
Funny
0
Wow
0
Sad
0
Angry
0
Comments (0)