NANE BORA, LIGI YA VIJANA U-17

Jun 09, 2026 - 19:15
0 0
NANE BORA, LIGI YA VIJANA U-17
NANE BORA, LIGI YA VIJANA U-17

Droo ya hatua ya nane bora, ligi ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 iliyo chini ya TFF, imefanyika leo Juni 09, ambapo Simba na Yanga zimeangukia katika makundi tofauti.

Hatua hiyo inapigwa kwa mtindo wa makundi, yakipangwa makundi mawili yenye timu nne kila kundi.

Kundi A: Mtibwa Sugar, Yanga SC, Mashujaa FC, Mbeya City.

KUndi B: Azam FC, Dodoma Jiji, Simba SC, JKT Tanzania.

Kipute kinaanza rasmi Juni 18 kwenye Dimba la Azam Complex kuanzia Juni 18.

Je, unaona kundi gani gumu zaidi?

Kwa ufupi mambo yalikuwa namna hii…

Ratiba kamili itatolewa…



(Feed generated with FetchRSS)

Comments (0)

User
🔒
SALAMA NA RAHISI KUJIUNGA

JIUNGE NA SOGA COMMUNITY

MASHABIKI WA MICHEZO NA MATUKIO DUNIANI WANAKUTANA HAPA. HAKUNA FUJO, HAKUNA MATUSI — NI MAZUNGUMZO YA MAANA NA MARAFIKI WAPYA.

✅ HAKUNA MADHARA KUJIUNGA NA CHAT YETU
✅ MFUMO UNAZUIA CHATS ZISIZOFAA
✅ KUBLOCK USER ASIYE NA MAADILI
✅ KUMSHITAKI NA KUMFUKUZA MTUMIAJI MBAYA
✅ KUFOLLOW NA KUBEFRIEND WATUMIAJI WENYE MAADILI

What's Your Reaction?

Like Like 0
Dislike Dislike 0
Love Love 0
Funny Funny 0
Wow Wow 0
Sad Sad 0
Angry Angry 0