KOMBE LA DUNIA 2026: Mwamuzi , Omar Abdulkadir Artan, raia wa Somalia ameondolewa kwenye orodha ya waamuzi wa mashindano hayo ba...
KOMBE LA DUNIA 2026: Mwamuzi , Omar Abdulkadir Artan, raia wa Somalia ameondolewa kwenye orodha ya waamuzi wa mashindano hayo baada ya kunyimwa kibali cha kuingia nchini Marekani.
Artan, ambaye pia ni mshindi wa tuzo ya CAF mwamuzi bora wa kiume kwa mwaka 2025, amezuiliwa kuingia nchini humo, punde alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Miami akitokea Istanbul nchini Uturuki.
Kupitia taarifa rasmi, FIFA imethibitisha kuwa mwamuzi huyo hatashiriki Kombe la Dunia 2026, huku mamlaka za Marekani zikikalia kimya suala hilo pasina kutoa sababu zozote.
Endapo Artan angeruhusiwa angeandika historia ya kuwa mwamuzi kutoka Somalia kuchezesha Kombe la Dunia.
Je, nini maoni yako?
Mwandishi Katherini Shirima
Mhariri | @abuuyusuftz
#FWC26 #FIFAWorldCup #WeAre26 #FIFAWorldCup2026NyumbaniAzamTV

(Feed generated with FetchRSS)

SALAMA NA RAHISI KUJIUNGA
JIUNGE NA SOGA COMMUNITY
MASHABIKI WA MICHEZO NA MATUKIO DUNIANI WANAKUTANA HAPA. HAKUNA FUJO, HAKUNA MATUSI β NI MAZUNGUMZO YA MAANA NA MARAFIKI WAPYA.
β
HAKUNA MADHARA KUJIUNGA NA CHAT YETU
β MFUMO UNAZUIA CHATS ZISIZOFAA
β KUBLOCK USER ASIYE NA MAADILI
β KUMSHITAKI NA KUMFUKUZA MTUMIAJI MBAYA
β KUFOLLOW NA KUBEFRIEND WATUMIAJI WENYE MAADILI
β MFUMO UNAZUIA CHATS ZISIZOFAA
β KUBLOCK USER ASIYE NA MAADILI
β KUMSHITAKI NA KUMFUKUZA MTUMIAJI MBAYA
β KUFOLLOW NA KUBEFRIEND WATUMIAJI WENYE MAADILI
What's Your Reaction?
Like
0
Dislike
0
Love
0
Funny
0
Wow
0
Sad
0
Angry
0
Comments (0)