TCB SELEOUS MARATHON: Zikiwa zimesalia siku 14 kuelekea TCB Seluos Marathon, leo Juni 6, 2026, wadau mbalimbali wamejitokeza kat...
TCB SELEOUS MARATHON: Zikiwa zimesalia siku 14 kuelekea TCB Seluos Marathon, leo Juni 6, 2026, wadau mbalimbali wamejitokeza katika fukwe za Coco kujiweka sawa na mbio hizo ambazo zitafanyika Morogoro Juni 20, 2026.
Mwenyekiti wa Marathon hiyo Imani Kajula atoa neno akiwa na ‘wakata upepo’ wengine kama vile mchekeshaji Leonardo na Mandonga.
@iam_idris21 alikuwa shuhuda mapema.
Mwenyekiti wa Marathon hiyo Imani Kajula atoa neno akiwa na ‘wakata upepo’ wengine kama vile mchekeshaji Leonardo na Mandonga.
@iam_idris21 alikuwa shuhuda mapema.
SALAMA NA RAHISI KUJIUNGA
JIUNGE NA SOGA COMMUNITY
MASHABIKI WA MICHEZO NA MATUKIO DUNIANI WANAKUTANA HAPA. HAKUNA FUJO, HAKUNA MATUSI — NI MAZUNGUMZO YA MAANA NA MARAFIKI WAPYA.
✅ HAKUNA MADHARA KUJIUNGA NA CHAT YETU
✅ MFUMO UNAZUIA CHATS ZISIZOFAA
✅ KUBLOCK USER ASIYE NA MAADILI
✅ KUMSHITAKI NA KUMFUKUZA MTUMIAJI MBAYA
✅ KUFOLLOW NA KUBEFRIEND WATUMIAJI WENYE MAADILI
✅ MFUMO UNAZUIA CHATS ZISIZOFAA
✅ KUBLOCK USER ASIYE NA MAADILI
✅ KUMSHITAKI NA KUMFUKUZA MTUMIAJI MBAYA
✅ KUFOLLOW NA KUBEFRIEND WATUMIAJI WENYE MAADILI
What's Your Reaction?
Like
0
Dislike
0
Love
0
Funny
0
Wow
0
Sad
0
Angry
0
Comments (0)