VIWANJANI | Mchambuzi wa soka @domayo anaamini kuwa mbio za kuwania tuzo ya mchezaji bora bado ziko wazi, akiwataja Feisal Salum...
VIWANJANI | Mchambuzi wa soka @domayo anaamini kuwa mbio za kuwania tuzo ya mchezaji bora bado ziko wazi, akiwataja Feisal Salum, Allan Okelo, Idd Nado, Clatous Chama, Rushine de Reuck na Mossi Ndumumwe kama wachezaji ambao wana nafasi zaidi ya kuwania.
Kwa mujibu wa mchambuzi huyo, atakayemaliza mechi tano za mwisho za msimu akiwa kwenye kiwango bora na mchango kwa timu yake na kuendelea kung'ara uwanjani, ndiye atakayekuwa na nafasi ya kutwaa tuzo hiyo.
Je, wewe unaona nani anastahili kuwa mchezaji bora msimu huu?
Mwandishi Kathrini Shirima
Mhariri | @allymufti_tz
#Viwanjani #MchezajiBora #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #SokaTanzania.

SALAMA NA RAHISI KUJIUNGA
JIUNGE NA SOGA COMMUNITY
MASHABIKI WA MICHEZO NA MATUKIO DUNIANI WANAKUTANA HAPA. HAKUNA FUJO, HAKUNA MATUSI β NI MAZUNGUMZO YA MAANA NA MARAFIKI WAPYA.
β
HAKUNA MADHARA KUJIUNGA NA CHAT YETU
β MFUMO UNAZUIA CHATS ZISIZOFAA
β KUBLOCK USER ASIYE NA MAADILI
β KUMSHITAKI NA KUMFUKUZA MTUMIAJI MBAYA
β KUFOLLOW NA KUBEFRIEND WATUMIAJI WENYE MAADILI
β MFUMO UNAZUIA CHATS ZISIZOFAA
β KUBLOCK USER ASIYE NA MAADILI
β KUMSHITAKI NA KUMFUKUZA MTUMIAJI MBAYA
β KUFOLLOW NA KUBEFRIEND WATUMIAJI WENYE MAADILI
What's Your Reaction?
Like
0
Dislike
0
Love
0
Funny
0
Wow
0
Sad
0
Angry
0
Comments (0)