VIWANJANI: Mchambuzi wa soka @michaelhyera_ akitoa tathmini ya kiufundi kuhusu kuondoka kwa aliyekuwa mchezaji wa Yanga SC, Alla...

Aug 17, 2026 - 12:15
0 1
VIWANJANI: Mchambuzi wa soka @michaelhyera_ akitoa tathmini ya kiufundi kuhusu kuondoka kwa aliyekuwa mchezaji wa Yanga SC, Alla...
VIWANJANI: Mchambuzi wa soka @michaelhyera_ akitoa tathmini ya kiufundi kuhusu kuondoka kwa aliyekuwa mchezaji wa Yanga SC, Allan Okello na kurejea kwa nyota wao wa zamani Stephane Aziz Ki.

Hyera amesema kurejea kwa Aziz Ki akiwa amepewa sifa ya X-Factor anatakiwa kuonesha kitu cha ziada na kufanya tofauti na kile ambacho wachezaji wengine waliopo kikosini wanaweza kukifanya.

✍ @katty_shirima
Mhariri | @allymufti_tz

#Viwanjani



(Feed generated with FetchRSS)

Comments (0)

User
🔒
SALAMA NA RAHISI KUJIUNGA

JIUNGE NA SOGA COMMUNITY

MASHABIKI WA MICHEZO NA MATUKIO DUNIANI WANAKUTANA HAPA. HAKUNA FUJO, HAKUNA MATUSI — NI MAZUNGUMZO YA MAANA NA MARAFIKI WAPYA.

✅ HAKUNA MADHARA KUJIUNGA NA CHAT YETU
✅ MFUMO UNAZUIA CHATS ZISIZOFAA
✅ KUBLOCK USER ASIYE NA MAADILI
✅ KUMSHITAKI NA KUMFUKUZA MTUMIAJI MBAYA
✅ KUFOLLOW NA KUBEFRIEND WATUMIAJI WENYE MAADILI

What's Your Reaction?

Like Like 0
Dislike Dislike 0
Love Love 0
Funny Funny 0
Wow Wow 0
Sad Sad 0
Angry Angry 0