VIWANJANI: “Sisi wengine tunatamani tuende Kagera tukaone mechi zikichezwa…”

Mchambuzi wa soka @akingamkono anaamini Geita Gold na Kagera Sugar zina nafasi kubwa ya kupanda Ligi Kuu ya NBC msimu huu kutokana na kiwango bora na namna msimamo ulivyo mpaka sasa.
Kingamkono amesema Kagera Sugar ni timu ambayo wadau wa soka wanatamani kuiona ikirejea Ligi Kuu ya NBC, wakiamini kurejea kwake kutarejesha ushindani na burudani ya soka safi ambalo limekuwa sehemu ya utambulisho wa klabu hiyo kwa miaka mingi.
Mwandishi Katherini Shirima
Mhariri | @allymufti_tz
#Viwanjani #MchezajiBora #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #SokaTanzania.

SALAMA NA RAHISI KUJIUNGA
JIUNGE NA SOGA COMMUNITY
MASHABIKI WA MICHEZO NA MATUKIO DUNIANI WANAKUTANA HAPA. HAKUNA FUJO, HAKUNA MATUSI — NI MAZUNGUMZO YA MAANA NA MARAFIKI WAPYA.
✅ HAKUNA MADHARA KUJIUNGA NA CHAT YETU
✅ MFUMO UNAZUIA CHATS ZISIZOFAA
✅ KUBLOCK USER ASIYE NA MAADILI
✅ KUMSHITAKI NA KUMFUKUZA MTUMIAJI MBAYA
✅ KUFOLLOW NA KUBEFRIEND WATUMIAJI WENYE MAADILI

What's Your Reaction?
Like
0
Dislike
0
Love
0
Funny
0
Wow
0
Sad
0
Angry
0
Comments (0)