AZAM FC: “…tuna mwendo unaoridhisha”

Sep 22, 2026 - 05:15
0 0
AZAM FC: “…tuna mwendo unaoridhisha”
AZAM FC: “…tuna mwendo unaoridhisha”.

Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Azam FC, Thabith Zakaria anatoa tathmini kuhusu mwenendo wa timu yao baada ya mechi saba za Ligi Kuu, akisema bado wako ndani ya malengo.

Zaka pia ameeleza kuhusu ratiba ya timu yao katika kipindi hiki cha mapumziko akisema watakuwa na mchezo wa kirafiki ambao utapita kimyakimya… akiwataka pia mashabiki kutoikatia tamaa timu hiyo kwakuwa bado ni mapema.

Amesema bado hawajaanza kuufikiria mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Zed FC, badala yake yake wanaelekeza akili zao kwenye mchezo wa ligi kuu dhidi ya Coastal Union kwanza.

Huyu hapa Zaka Zakazi.

#AzamFC #ZakaZakazi



(Feed generated with FetchRSS)

Comments (0)

User
🔒
SALAMA NA RAHISI KUJIUNGA

JIUNGE NA SOGA COMMUNITY

MASHABIKI WA MICHEZO NA MATUKIO DUNIANI WANAKUTANA HAPA. HAKUNA FUJO, HAKUNA MATUSI — NI MAZUNGUMZO YA MAANA NA MARAFIKI WAPYA.

✅ HAKUNA MADHARA KUJIUNGA NA CHAT YETU
✅ MFUMO UNAZUIA CHATS ZISIZOFAA
✅ KUBLOCK USER ASIYE NA MAADILI
✅ KUMSHITAKI NA KUMFUKUZA MTUMIAJI MBAYA
✅ KUFOLLOW NA KUBEFRIEND WATUMIAJI WENYE MAADILI

What's Your Reaction?

Like Like 0
Dislike Dislike 0
Love Love 0
Funny Funny 0
Wow Wow 0
Sad Sad 0
Angry Angry 0