SIMBA SC: “…tumefanikiwa kuzifunga timu korofi”

Sep 22, 2026 - 05:15
0 0
SIMBA SC: “…tumefanikiwa kuzifunga timu korofi”
SIMBA SC: “…tumefanikiwa kuzifunga timu korofi”

Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally anatoa tathmini yake baada ya mechi sita za Ligi Kuu ya NBC msimu huu, akisema kuna dalili njema kwa kuwa wamepata kila kitu walichokihitaji.

Amesema “katika mechi zote sita, hakuna mechi ambayo tumeshikilia roho”

Katika hatua nyingine, Ahmed ametoa taarifa rasmi na sababu za kupiga kambi nchini Afrika Kusini kuelekea mchezo wa Kariakoo Derby, Oktoba 10.

#SimbaSC #AhmedAlly



(Feed generated with FetchRSS)

Comments (0)

User
🔒
SALAMA NA RAHISI KUJIUNGA

JIUNGE NA SOGA COMMUNITY

MASHABIKI WA MICHEZO NA MATUKIO DUNIANI WANAKUTANA HAPA. HAKUNA FUJO, HAKUNA MATUSI — NI MAZUNGUMZO YA MAANA NA MARAFIKI WAPYA.

✅ HAKUNA MADHARA KUJIUNGA NA CHAT YETU
✅ MFUMO UNAZUIA CHATS ZISIZOFAA
✅ KUBLOCK USER ASIYE NA MAADILI
✅ KUMSHITAKI NA KUMFUKUZA MTUMIAJI MBAYA
✅ KUFOLLOW NA KUBEFRIEND WATUMIAJI WENYE MAADILI

What's Your Reaction?

Like Like 0
Dislike Dislike 0
Love Love 0
Funny Funny 0
Wow Wow 0
Sad Sad 0
Angry Angry 0