VIWANJANI | ''Simba wana jambo la kuwauliza Azam ilikuwaje mkatufunga'', ni tathmini ya Mchambuzi wa soka, @akingamkono kuelekea...

Sep 15, 2026 - 14:15
0 0
VIWANJANI | ''Simba wana jambo la kuwauliza Azam ilikuwaje mkatufunga'', ni tathmini ya Mchambuzi wa soka, @akingamkono kuelekea...
VIWANJANI | ''Simba wana jambo la kuwauliza Azam ilikuwaje mkatufunga'', ni tathmini ya Mchambuzi wa soka, @akingamkono kuelekea mchezo wa Ligi Kuu ya NBC unaokutanisha Matajiri wa Jiji, Azam FC dhidi ya Wekundu wa Msimbazi, Simba SC.

Anasema utakuwa mchezo wenye upinzani mkubwa kutokana na kila mmoja kuzitaka alama tatu.

Mzizima Derby ni kesho Septemba 15,2026 Azam FC vs Simba SC saa 1:00 usiku LIVE #AzamSports1HD

✍ @rajjmsangi

#Viwanjani #SimbaSc #AzamFC



(Feed generated with FetchRSS)

Comments (0)

User
🔒
SALAMA NA RAHISI KUJIUNGA

JIUNGE NA SOGA COMMUNITY

MASHABIKI WA MICHEZO NA MATUKIO DUNIANI WANAKUTANA HAPA. HAKUNA FUJO, HAKUNA MATUSI — NI MAZUNGUMZO YA MAANA NA MARAFIKI WAPYA.

✅ HAKUNA MADHARA KUJIUNGA NA CHAT YETU
✅ MFUMO UNAZUIA CHATS ZISIZOFAA
✅ KUBLOCK USER ASIYE NA MAADILI
✅ KUMSHITAKI NA KUMFUKUZA MTUMIAJI MBAYA
✅ KUFOLLOW NA KUBEFRIEND WATUMIAJI WENYE MAADILI

What's Your Reaction?

Like Like 0
Dislike Dislike 0
Love Love 0
Funny Funny 0
Wow Wow 0
Sad Sad 0
Angry Angry 0