TAIFA STARS: Kikosi cha Taifa Stars kimeendelea kujifua kuelekea mchezo wa kufuzu AFCON 2027, huku nyota wengine watatu wakiwasi...
TAIFA STARS: Kikosi cha Taifa Stars kimeendelea kujifua kuelekea mchezo wa kufuzu AFCON 2027, huku nyota wengine watatu wakiwasili kambini kutoka nje ya Tanzania.
Afisa Habari wa TFF, Clifford Ndimbo ameeleza kuhusu maandalizi ya mchezo huo na kutoa taarifa rasmi kuhusu kuwasili kwa wapinzani wao, Guinea Bissau.
Katika hatua nyingine, Ndimbo amefafanua kuhusu uamuzi wa kutenga siku maalum kwa mashabiki kushuhudia mazoezi ya kikosi hicho…
Hii hapa taarifa kutoka kwa Kennedy Moses.
#Mshikemshike #TaifaStars #KufuzuAFCON
(Feed generated with FetchRSS)

SALAMA NA RAHISI KUJIUNGA
JIUNGE NA SOGA COMMUNITY
MASHABIKI WA MICHEZO NA MATUKIO DUNIANI WANAKUTANA HAPA. HAKUNA FUJO, HAKUNA MATUSI — NI MAZUNGUMZO YA MAANA NA MARAFIKI WAPYA.
✅ HAKUNA MADHARA KUJIUNGA NA CHAT YETU
✅ MFUMO UNAZUIA CHATS ZISIZOFAA
✅ KUBLOCK USER ASIYE NA MAADILI
✅ KUMSHITAKI NA KUMFUKUZA MTUMIAJI MBAYA
✅ KUFOLLOW NA KUBEFRIEND WATUMIAJI WENYE MAADILI
✅ MFUMO UNAZUIA CHATS ZISIZOFAA
✅ KUBLOCK USER ASIYE NA MAADILI
✅ KUMSHITAKI NA KUMFUKUZA MTUMIAJI MBAYA
✅ KUFOLLOW NA KUBEFRIEND WATUMIAJI WENYE MAADILI
What's Your Reaction?
Like
0
Dislike
0
Love
0
Funny
0
Wow
0
Sad
0
Angry
0
Comments (0)