MZIZIMA DERBY | “hakuna mechi rahisi, wapinzani wanatofautiana”

Sep 16, 2026 - 15:15
0 0
MZIZIMA DERBY | “hakuna mechi rahisi, wapinzani wanatofautiana”
MZIZIMA DERBY | “hakuna mechi rahisi, wapinzani wanatofautiana”

Afisa Mtendaji Mkuu wa Simba SC, Zubeda Sakuru, amesema wanaamini kutakuwa na mchezo wa ushindani mkubwa dhidi ya wapinzani wao, Azam FC, huku akieleza kuwa wachezaji wamejiandaa vizuri kuhakikisha wanapata ushindi.

Ameeleza hayo wakati akizungumza na Mtangazaji wa Azam TV, @omarisuleimani_mfaume, huku akisisitiza kuwa dhamira yao bado ni kuendelea kushinda na kupata matokeo mazuri zaidi hasa kuelekea mchezo wa leo.

Kumbuka mtanange ni saa 1:00 usiku na itakuwa LIVE #AzamSports1HD

✍️ @rajjmsangi

#MzizimaDerby #AzamFC #SimbaSC



(Feed generated with FetchRSS)

Comments (0)

User
🔒
SALAMA NA RAHISI KUJIUNGA

JIUNGE NA SOGA COMMUNITY

MASHABIKI WA MICHEZO NA MATUKIO DUNIANI WANAKUTANA HAPA. HAKUNA FUJO, HAKUNA MATUSI — NI MAZUNGUMZO YA MAANA NA MARAFIKI WAPYA.

✅ HAKUNA MADHARA KUJIUNGA NA CHAT YETU
✅ MFUMO UNAZUIA CHATS ZISIZOFAA
✅ KUBLOCK USER ASIYE NA MAADILI
✅ KUMSHITAKI NA KUMFUKUZA MTUMIAJI MBAYA
✅ KUFOLLOW NA KUBEFRIEND WATUMIAJI WENYE MAADILI

What's Your Reaction?

Like Like 0
Dislike Dislike 0
Love Love 0
Funny Funny 0
Wow Wow 0
Sad Sad 0
Angry Angry 0