YANGA SC: “…Tuna wastan wa kutengeneza zaidi ya nafasi nane kwenye mchezo mmoja”

Sep 23, 2026 - 07:15
0 0
YANGA SC: “…Tuna wastan wa kutengeneza zaidi ya nafasi nane kwenye mchezo mmoja”
YANGA SC: “…Tuna wastan wa kutengeneza zaidi ya nafasi nane kwenye mchezo mmoja”

Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Kamwe ametoa tathmini baada ya michezo sita ya ligi kuu na kushinda yote ikiwa imefunga magoli 16 na kufungwa mawili pekee.

Kamwe pia amezungumzia maandalizi ya kikosi hicho kuelekea Dabi ya Kariakoo itakayopigwa Oktoba 10 akisema malengo yao ni kutetea ubingwa na siyo kuutazama mchezo mmoja pekee.

Pia ametamba kuhusu wachezaji wao 16 kuitwa katika majukumu ya timu zao za taifa.

Yanga SC inashika nafasi ya kwanza katika msimamo wa ligi kuu ya NBC 2026/27 ikiwa na alama 18 mbele ya mahasimu wao Simba SC ambao nao wana alama 18, tofauti yao ikiwa ni magoli ya kufunga na kufungwa.



(Feed generated with FetchRSS)

Comments (0)

User
🔒
SALAMA NA RAHISI KUJIUNGA

JIUNGE NA SOGA COMMUNITY

MASHABIKI WA MICHEZO NA MATUKIO DUNIANI WANAKUTANA HAPA. HAKUNA FUJO, HAKUNA MATUSI — NI MAZUNGUMZO YA MAANA NA MARAFIKI WAPYA.

✅ HAKUNA MADHARA KUJIUNGA NA CHAT YETU
✅ MFUMO UNAZUIA CHATS ZISIZOFAA
✅ KUBLOCK USER ASIYE NA MAADILI
✅ KUMSHITAKI NA KUMFUKUZA MTUMIAJI MBAYA
✅ KUFOLLOW NA KUBEFRIEND WATUMIAJI WENYE MAADILI

What's Your Reaction?

Like Like 0
Dislike Dislike 0
Love Love 0
Funny Funny 0
Wow Wow 0
Sad Sad 0
Angry Angry 0