AZAM MEDIA LTD: Makamu wa Rais wa Yanga SC, Arafat Ally Haji, ameipongeza Kampuni ya Azam Media Limited kwa kupata haki ya kuone...

Jun 06, 2026 - 02:15
0 0
AZAM MEDIA LTD: Makamu wa Rais wa Yanga SC, Arafat Ally Haji, ameipongeza Kampuni ya Azam Media Limited kwa kupata haki ya kuone...
AZAM MEDIA LTD: Makamu wa Rais wa Yanga SC, Arafat Ally Haji, ameipongeza Kampuni ya Azam Media Limited kwa kupata haki ya kuonesha mubashara mechi zote 104 za kombe la dunia 2026, fainali zinazofanyika katika mataifa matatu ya Marekani, Canada na Meixico kuanzia Juni kumi na moja mwaka huu.

Arafat amesema hii ni hatua kubwa kwa kampuni ya kizawa, huku akiwa matarajio ya kupata matangazo yenye ubora wa hali ya juu.

Mhariri | @rajjmsangi

#Mshikemshike

Comments (0)

User
πŸ”’
SALAMA NA RAHISI KUJIUNGA

JIUNGE NA SOGA COMMUNITY

MASHABIKI WA MICHEZO NA MATUKIO DUNIANI WANAKUTANA HAPA. HAKUNA FUJO, HAKUNA MATUSI β€” NI MAZUNGUMZO YA MAANA NA MARAFIKI WAPYA.

βœ… HAKUNA MADHARA KUJIUNGA NA CHAT YETU
βœ… MFUMO UNAZUIA CHATS ZISIZOFAA
βœ… KUBLOCK USER ASIYE NA MAADILI
βœ… KUMSHITAKI NA KUMFUKUZA MTUMIAJI MBAYA
βœ… KUFOLLOW NA KUBEFRIEND WATUMIAJI WENYE MAADILI

What's Your Reaction?

Like Like 0
Dislike Dislike 0
Love Love 0
Funny Funny 0
Wow Wow 0
Sad Sad 0
Angry Angry 0