KOMBE LA DUNIA 2026 | Mtangazaji na mchambuzi wa soka, @gharib_mzinga23 , anaamini Hispania ni miongoni mwa mataifa yenye nafasi...
KOMBE LA DUNIA 2026 | Mtangazaji na mchambuzi wa soka, @gharib_mzinga23 , anaamini Hispania ni miongoni mwa mataifa yenye nafasi ya kutwaa ubingwa wa Kombe la Dunia 2026, kutokana na kiwango bora na mwendelezo mzuri wa mafanikio ambao wameuonesha katika miaka ya hivi karibuni.
Mzinga amesema kizazi cha sasa cha wachezaji wa taifa hilo kimejidhihirisha kuwa ni kizazi cha dhahabu, chenye mchanganyiko wa vipaji, ubora na ufundi wa hali ya juu, jambo linalotoa matumaini makubwa kwa mashabiki wa soka kwamba wanaweza kufanya makubwa zaidi katika michuano hiyo.
Mwandishi Katherini Shirima
Mhariri | @allymufti_tz
#FWC26 #FIFAWorldCup #WeAre26 #MechiZote104LiveAzamTV

SALAMA NA RAHISI KUJIUNGA
JIUNGE NA SOGA COMMUNITY
MASHABIKI WA MICHEZO NA MATUKIO DUNIANI WANAKUTANA HAPA. HAKUNA FUJO, HAKUNA MATUSI — NI MAZUNGUMZO YA MAANA NA MARAFIKI WAPYA.
✅ HAKUNA MADHARA KUJIUNGA NA CHAT YETU
✅ MFUMO UNAZUIA CHATS ZISIZOFAA
✅ KUBLOCK USER ASIYE NA MAADILI
✅ KUMSHITAKI NA KUMFUKUZA MTUMIAJI MBAYA
✅ KUFOLLOW NA KUBEFRIEND WATUMIAJI WENYE MAADILI
✅ MFUMO UNAZUIA CHATS ZISIZOFAA
✅ KUBLOCK USER ASIYE NA MAADILI
✅ KUMSHITAKI NA KUMFUKUZA MTUMIAJI MBAYA
✅ KUFOLLOW NA KUBEFRIEND WATUMIAJI WENYE MAADILI
What's Your Reaction?
Like
0
Dislike
0
Love
0
Funny
0
Wow
0
Sad
0
Angry
0
Comments (0)