KOMBE LA DUNIA | Mbwiga Mbwiguke anasema “..hata Bichuka naye huwa na hamu ya kumsikiliza Remy Ongala, au Ngurumo”

Jun 05, 2026 - 17:15
0 0
KOMBE LA DUNIA | Mbwiga Mbwiguke anasema “..hata Bichuka naye huwa na hamu ya kumsikiliza Remy Ongala, au Ngurumo”
KOMBE LA DUNIA | Mbwiga Mbwiguke anasema “..hata Bichuka naye huwa na hamu ya kumsikiliza Remy Ongala, au Ngurumo”.

Hii ni furaha yake baada ya kusikia uwepo wa jopo maalum la wachambuzi wa michuano ya Kombe la Dunia, akiwataja Ramadhan Mbwaduke, Edo Kumwembe na Shafih Dauda.

Michuano ya #FIFAWorldCup2026 itaanza Juni 11 hadi Julai 19, 2026 na kuruka LIVE kupitia chaneli za #AzamSports

✍️ @amosimasokotz

#FWC26 #FIFAWorldCup #WeAre26 #FIFAWorldCup2026NyumbaniAzamTV #MechiZote104LiveAzamTV

Comments (0)

User
🔒
SALAMA NA RAHISI KUJIUNGA

JIUNGE NA SOGA COMMUNITY

MASHABIKI WA MICHEZO NA MATUKIO DUNIANI WANAKUTANA HAPA. HAKUNA FUJO, HAKUNA MATUSI — NI MAZUNGUMZO YA MAANA NA MARAFIKI WAPYA.

✅ HAKUNA MADHARA KUJIUNGA NA CHAT YETU
✅ MFUMO UNAZUIA CHATS ZISIZOFAA
✅ KUBLOCK USER ASIYE NA MAADILI
✅ KUMSHITAKI NA KUMFUKUZA MTUMIAJI MBAYA
✅ KUFOLLOW NA KUBEFRIEND WATUMIAJI WENYE MAADILI

What's Your Reaction?

Like Like 0
Dislike Dislike 0
Love Love 0
Funny Funny 0
Wow Wow 0
Sad Sad 0
Angry Angry 0