Maonesho ya Arian Grande London Moto
LONDON: Mwanamuziki Ariana Grande anaend… Read the rest
The post Maonesho ya Arian Grande London Moto first appeared on SpotiLEO.
LONDON: Mwanamuziki Ariana Grande anaendelea kuteka hisia za mashabiki wa muziki barani Ulaya kupitia maonesho Yale ya Eternal Sunshine, huko London ikiwa moja ya vituo vikubwa vya ziara hiyo.
Msanii huyo amekuwa akifanya maonesho katika Ukumbi wa O2 Arena, huku mashabiki wakijitokeza kwa wingi kushuhudia nyimbo zake maarufu na uwezobwakenkatika maoneshonyakejukwaani.

Ziara hiyo imepewa uzito mkubwa kutokana na idadi ya maonesho yake London, ambayo yanafikia 10 katika kipindi cha Agosti na Septemba.
Kwa sasa Ariana ni miongoni mwa wasanii wakubwa waliobanwa na ratiba nyingine za matamasha ya Ulaya Kwa mwaka 2026.
Wasanii wengine wenye matamashaenginkwa mwaka huu ni Bruno Mars, Bad Bunny, The Weeknd na BTS.
The post Maonesho ya Arian Grande London Moto first appeared on SpotiLEO.
