SPORTSPESA LEAGUE: Kwa mara ya kwanza katika historia ya Ligi Kuu ya Kenya (SportsPesa League), imetolewa tuzo ya Shabiki Bora w...

Jun 06, 2026 - 20:15
0 0
SPORTSPESA LEAGUE: Kwa mara ya kwanza katika historia ya Ligi Kuu ya Kenya (SportsPesa League), imetolewa tuzo ya Shabiki Bora w...
SPORTSPESA LEAGUE: Kwa mara ya kwanza katika historia ya Ligi Kuu ya Kenya (SportsPesa League), imetolewa tuzo ya Shabiki Bora wa msimu ambapo kwenye msimu huu wa 2025/26, tuzo hiyo imekwenda kwa shabiki wa Gor Mahia, Leonard ‘Taya Dok’ Onyango.

Taya Dok ametunukiwa tuzo hiyo kutokana na mchango wake wa kuiunga mkonoi Gor Mahia katika mechi mbalimbali tangu mwanzo wa msimu hadi mwisho wake.

#SportpesaLeagueGalaAwards

Comments (0)

User
🔒
SALAMA NA RAHISI KUJIUNGA

JIUNGE NA SOGA COMMUNITY

MASHABIKI WA MICHEZO NA MATUKIO DUNIANI WANAKUTANA HAPA. HAKUNA FUJO, HAKUNA MATUSI — NI MAZUNGUMZO YA MAANA NA MARAFIKI WAPYA.

✅ HAKUNA MADHARA KUJIUNGA NA CHAT YETU
✅ MFUMO UNAZUIA CHATS ZISIZOFAA
✅ KUBLOCK USER ASIYE NA MAADILI
✅ KUMSHITAKI NA KUMFUKUZA MTUMIAJI MBAYA
✅ KUFOLLOW NA KUBEFRIEND WATUMIAJI WENYE MAADILI

What's Your Reaction?

Like Like 0
Dislike Dislike 0
Love Love 0
Funny Funny 0
Wow Wow 0
Sad Sad 0
Angry Angry 0